Bwana harusi aingizwa ukumbini kwa bakora........ ... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bwana harusi aingizwa ukumbini kwa bakora........ ...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shomari, Aug 22, 2011.

 1. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  [​IMG]

  Bwana harusi mmoja mkazi wa Makete mkoani Iringa jina na picha za harusi yake zimehifadhiwa ametoa mpya ya mwaka baada ya kugoma kata kata kuingia ukumbini kwa madai kuwa bibiharusi si chaguo lake na kuwa hajazoea kutazamwa na watu wengi kiasi hicho.


  Bwana harusi huyo ambaye ni mmoja kati ya wafanyabiashara katika mikoa ya kusini mwa Tanzania alitoa kali hiyo baada ya MC wa sherehe hiyo kuwaingiza ndani ya ukumbi wasimamizi wa harusi na wacheza show na kuingia zamu ya maharusi kuingia ambapo bwana harusi aligoma kata kata kuingia ukumbini na kupelekea baadhi ya mabaunsa ambao walikuwa katika kamati ya harusi hiyo kuingilia kati na kuta kumpa kichapo bwana harusi hiyo kwa kutaka kuivuruga sherehe hiyo.

  Hata hivyo muda wote bibi harusi na ndugu wa maharusi hao ambao walikuwa wameingia ukumbini muda wote machozi yalikuwa yakiwatoka kutokana na hatua ya bwana harusi kugoma kuingia ukumbini .

  Kutokana na vuta nikuvute kati ya MC ,mabaunsa na bwana harusi huyo ambaye alikuwa amelewa pombe kupita kiasi kumalizika kwa sharti la bwana harusi kutaka taa zote zizimwe ndipo aingie ukumbini ,harusi hiyo iliendelea kama kawa japo bwana harusi hakuacha kutoa vituko pindi alipotakiwa kufanya jambo.

  source: Francis Godwin blog
   
 2. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  teh teh teh-watu na matukio
   
 3. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,185
  Likes Received: 1,184
  Trophy Points: 280
  Mhmmmm! Amayano munsi tegaggwa lubaata!
   
 4. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Kazi kweli
   
 5. V

  Vonix JF-Expert Member

  #5
  Aug 22, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 1,988
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  mi napita tu nisalimie wapangwa.
   
 6. Gamaha

  Gamaha JF-Expert Member

  #6
  Aug 22, 2011
  Joined: Jul 17, 2008
  Messages: 2,695
  Likes Received: 753
  Trophy Points: 280
  hiii habari ya kulewa siku ya harusi si nzuri. ndugu yangu mmoja alitaka kumkataaa bibi harusi madhabahuni ilibidi best man afanye kazi ya ziada. hasa kwa hawa wanaoshinikizwa na wazazi muoe furani kwa sababu umezaa naye kumbe jamaa hajapenda toka moyoni. alivyopata maji ya uzima (pombe) akili ikafunguka kuwa kalazimishwa na akataka kukataa " chonde chonde ulevi ni noumer"
   
 7. G_crisis

  G_crisis JF-Expert Member

  #7
  Aug 22, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 715
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Kweli pombe ina shetani mbaya sana,jamani ulevi ni danger!
   
 8. The Magnificent

  The Magnificent JF-Expert Member

  #8
  Aug 22, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 2,669
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  hii stori kama udaku udaku vile...
   
 9. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #9
  Aug 22, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,255
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  huyo bwana harusi ni mwehu!
   
 10. o

  ommie Member

  #10
  Aug 22, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ...ahahahahahhahah..
   
 11. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #11
  Aug 22, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,383
  Likes Received: 22,263
  Trophy Points: 280
  Bwana harusi alikuwa Malaria Sugu
   
 12. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #12
  Aug 22, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Nimekumbuka kuna bwana harusi mtarajiwa alienda kwenye sendoff ya bibi harusi wake mtarajiwa bahati mbaya mabaunsa hawakuwa wakimtambua na kadi hakuwa nayo. Alipoulizwa kadi akajitambulisha, kwakuwa mabaunsa na yeye wote walikuwa walevi, hawakuelewana! Jamaa akaamua kususia shughuli! Ilikuwa kazi kubwa kumaliza ule ugomvi.
   
 13. Kamkuki

  Kamkuki JF-Expert Member

  #13
  Aug 22, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  Story za vijiweni bana teh teeh teeeh!
   
 14. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #14
  Aug 23, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Ahahahahahaah!! Pombe si maji.
   
 15. Muzii

  Muzii Senior Member

  #15
  Aug 23, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 145
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Bujibuji taratibu mkuu utanivunja mbavu
   
 16. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #16
  Aug 23, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Na huyo bibi harusi bado ana matumaini ya kuwa na ndoa ya amani?
   
 17. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #17
  Aug 23, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,726
  Likes Received: 446
  Trophy Points: 180
  Hii ya hao nyani nimeipenda'inaonesha ilikuwa bonge ya party
   
 18. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #18
  Aug 23, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,539
  Likes Received: 12,816
  Trophy Points: 280
  Duuu! Imenikuna hii bwana harusi alichaguliwa mke,af kaona bora alewe,hahahahahaaaa,sasa kanisani si alishasema ndioooooooooooooooo kama mjengoni sa ukumbini ilikuwaje tena akagoma.teheteheteheee aligonga chag'aa huyo,
   
 19. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #19
  Aug 23, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Chondechonde,ulevi................!malizia mwenyewe
   
 20. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #20
  Aug 23, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hahahah hii kwa kweli imetulia
   
Loading...