Bwana fulani, chuki ndio chanzo kikubwa cha yeye kuwa na frustrations japo anapata kila akitakacho tena kwa kuagiza tu au kutuma

Ata wewe unaweza kuja na hizo mada, chamaana ni kuziweka bayana mimi nimemuambia huyu muungwa sababu yeye mada zake zote ni magufuli kafanya hivi na all ni negative inamana hakuna postive?
Yeye ameleta mtazamo wake wewe unaweza kuja na hizo mada zinazohusu vijana na kujikwamua maana hujakatazwa hio inaitwa mgawanyiko wa kuhabarisha watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Frustration za kujitakia,badala kuwaza niwafanyie nini watanzania anawaza nani wa kumfanyia visasi, mitume wenyewe walikosewa lakini hawakulipa visasi.
 
Ndo maana muda wote sizonje yuko paranoid. Ukiwa na roho mbaya huwezi kuwa na amani kamwe!

Sent using Sukhoi Su-57
 
Kuna mtu fulani kwa nafasi yake katika jamii,hakuna ambacho anaweza kukihitaji na kukikosa na hakuna atakachotamani asikipate.

Hata hivyo,bwana huyu amewahi kulalamika hadharani kuwa ana frustrations jambo ambalo liliwashangaza watu wengi kwani kwa nafasi yake hastahili kuwa na frustrations unless ana matatizo na mkewe maana zaidi ya hapo hakuna kingine cha kumletea frustrations zaidi tu ya chuki alionayo dhidi ya kundi fulani katika jamii.

Bahata mbaya sana,chuki yake hii ikichanganyika na ukweli kwamba ameshindwa ku-deliver,basi chuki hii huongezeka maradufu na matokeo yake hajiamini na anajikuta anaishi kwa hofu tu japo ana ulinzi masaa 24 siku 7 za wiki.

Kwa upande mwingine,chuki yake hii imegeuka neema kwa watu anaowatumia ili wawaangamize asiowapenda kwani anawapa ulaji ila kwa kazi ambayo mpaka leo imewashinda.

Unafanya maamuzi kwa chuki kufaidisha wengine na kibaya zaidi hao wanaonufaika na maamuzi yako ya chuki hawabadili hali halisi iliyopo zaidi tu ya wao kupata ulaji huku wewe ukiendelea na frustrations zako.

Bwana wewe acha chuki kwani ni mzigo na ni hatari kwa afya yako na hapo ulipo unapita tu wala hutadumu milele.
Akili Yako Imejaa Chuki Na Ndio Maana Akili Yako Haina Akili

Usiwe na wasiwasi, kila kitu kipo poa,
 
Back
Top Bottom