Bwana fulani, chuki ndio chanzo kikubwa cha yeye kuwa na frustrations japo anapata kila akitakacho tena kwa kuagiza tu au kutuma

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,888
143,985
Kuna mtu fulani kwa nafasi yake katika jamii,hakuna ambacho anaweza kukihitaji na kukikosa na hakuna atakachotamani asikipate.

Hata hivyo,bwana huyu amewahi kulalamika hadharani kuwa ana frustrations jambo ambalo liliwashangaza watu wengi kwani kwa nafasi yake hastahili kuwa na frustrations unless ana matatizo na mkewe maana zaidi ya hapo hakuna kingine cha kumletea frustrations zaidi tu ya chuki alionayo dhidi ya kundi fulani katika jamii.

Bahata mbaya sana,chuki yake hii ikichanganyika na ukweli kwamba ameshindwa ku-deliver,basi chuki hii huongezeka maradufu na matokeo yake hajiamini na anajikuta anaishi kwa hofu tu japo ana ulinzi masaa 24 siku 7 za wiki.

Kwa upande mwingine,chuki yake hii imegeuka neema kwa watu anaowatumia ili wawaangamize asiowapenda kwani anawapa ulaji ila kwa kazi ambayo mpaka leo imewashinda.

Unafanya maamuzi kwa chuki kufaidisha wengine na kibaya zaidi hao wanaonufaika na maamuzi yako ya chuki hawabadili hali halisi iliyopo zaidi tu ya wao kupata ulaji huku wewe ukiendelea na frustrations zako.

Bwana wewe acha chuki kwani ni mzigo na ni hatari kwa afya yako na hapo ulipo unapita tu wala hutadumu milele.
 
Wanyarwanda ndivyo walivyo ndio maana 1994 wakachinjana
 
Acha ujinga,siku mojamoja unatakiwa kuja na mada na namna ya jinsi vijana wanatakiwa kutumia fursa zilizopo nchini ili kujijenga vyema kwenye uchumi wa mmoja mmoja, haya mambo unayoyaleta hayana muhimu wowote zaidi unaonekana fala na mtu mmoja mbea mbea au vuvuzela.unapoteza nguvu nyingi sana kumuongelea mtu ambaye atakutawala kwa miaka mingine saba ijayo,na huna lolote la kumfanya zaidi ya mbwela na utajibiwa na watu kama wakina sisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama imekuuma kajitundike!
 
Fursa za uchumi ziko kwa wenye kadi za CCM, ndiyo maana mnahangaika na propaganda huku uchumi unaelekea shimoni. Lakini tutakula sahani moja hii keki mnayojigawia tutaidokoa tu.
 
Kuna mtu fulani kwa nafasi yake katika jamii,hakuna ambacho anaweza kukihitaji na kukikosa na hakuna atakachotamani asikipate.

Hata hivyo,bwana huyu amewahi kulalamika hadharani kuwa ana frustrations jambo ambalo liliwashangaza watu wengi kwani kwa nafasi yake hastahili kuwa na frustrations unless ana matatizo na mkewe maana zaidi ya hapo hakuna kingine cha kumletea frustrations zaidi tu ya chuki alionayo dhidi ya kundi fulani katika jamii.

Bahata mbaya sana,chuki yake hii ikichanganyika na ukweli kwamba ameshindwa ku-deliver,basi chuki hii huongezeka maradufu na matokeo yake hajiamini na anajikuta anaishi kwa hofu tu japo ana ulinzi masaa 24 siku 7 za wiki.

Kwa upande mwingine,chuki yake hii imegeuka neema kwa watu anaowatumia ili wawaangamize asiowapenda kwani anawapa ulaji ila kwa kazi ambayo mpaka leo imewashinda.

Unafanya maamuzi kwa chuki kufaidisha wengine na kibaya zaidi hao wanaonufaika na maamuzi yako ya chuki hawabadili hali halisi iliyopo zaidi tu ya wao kupata ulaji huku wewe ukiendelea na frustrations zako.

Bwana wewe acha chuki kwani ni mzigo na ni hatari kwa afya yako na hapo ulipo unapita tu wala hutadumu milele.
Hakika huyu jamaa ana roho mbaya ya kupindukia!
 
Acha ujinga,siku mojamoja unatakiwa kuja na mada na namna ya jinsi vijana wanatakiwa kutumia fursa zilizopo nchini ili kujijenga vyema kwenye uchumi wa mmoja mmoja, haya mambo unayoyaleta hayana muhimu wowote zaidi unaonekana fala na mtu mmoja mbea mbea au vuvuzela.unapoteza nguvu nyingi sana kumuongelea mtu ambaye atakutawala kwa miaka mingine saba ijayo,na huna lolote la kumfanya zaidi ya mbwela na utajibiwa na watu kama wakina sisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye ameleta mtazamo wake wewe unaweza kuja na hizo mada zinazohusu vijana na kujikwamua maana hujakatazwa hio inaitwa mgawanyiko wa kuhabarisha watu
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom