Bwana asipolinda mji wakeshao hukesha bure!!!!!!!!!!!

Bwana asipolinda mji wakeshao hukesha bure!!!!!!!!!!!

Joined
Dec 20, 2012
Posts
70
Reaction score
31
mijiusingizi.JPG
??????????
 

Jamaa anahatarisha maisha yake kwa kubeba Gobore lisilo na risasi kuna vikampuni vya kijinga vya ulinzi yaani hata mavazi yao tu ni ya kichovu na hata hizo tenda hupata kwa unjanja ujanja tu tizama hii picha utakuta huyo mlinzi hapo msosi wa mchana hanauona na wala haujui ataupataje kwani pesa alizolipwa mshahara zishaisha tarehe kumi tu anaishia kukopa kila siku au mtu alija na gari lake basi ndio kama analilinda kwa msaada wa mia mbili au Tano.... Katiba mpya iwaangalie hawa walinzi Mishahara midogo kwa kazi ya hatari... akiibiwa hilo Gobore kazi anakosa na kifungo jela juu....
 
Zaburi 127 : 1-2

127.1 Bwana asipoijenga
nyumba Waijengao wafanya kazi
bure. Bwana asipoulinda mji Yeye
aulindaye akesha bure.
127.2 Kazi yenu ni bure,
mnaoamka mapema, Na kukawia
kwenda kulala, Na kula chakula
cha taabu
 
umenikumbusha zamani nikizuga kubaki home nisiende sunday school bi mkubwa alikuwa ananiambia hivyo.ebwana da oioi
 
umeshamuharibia mwenzio kazi yake! endapo tu bosi wake atapita humu jf basi jamaa hana kazi.
 
hivi hyo bunduki haiwezi vuka kweli mana nimepata spirit ya kuinyatia,nikapambane na polisi wa magamba
 
hivi hyo bunduki haiwezi vuka kweli mana nimepata spirit ya kuinyatia,nikapambane na polisi wa magamba

Huna haja ya kuivua, unakata mkanda na mkasi special. nyingine mikanda huwa rahisi kui-detach.
 
Kwa wale wachunguzi wenzangu na mimi hii inawahusu sana. Pale kwenye eneo la kupitishia gobole la asili panapojwenda kwa jina la zipu mbona pametuna sana!!! Au ndiyo matokeo ya ndoto nyevu!!
 
Pole King Kong, hapo kwenye lambo ni udambwidambwi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom