Bw. Lowassa, A Bitter Pill to Swallow


Nimesikia kwamba mradi wa maji kutoka Ziwa Viktoria kwenda Shinyanga mpaka Kahama ni moja kati ya Miradi aliyoisimamia yeye Bw. Lowasa sina uhakika na hilo lakini kama lina ukweli wowote basi ni bonge la Plus kwake kwani nimefika huko na kuona jinsi ule mradi ulivyowakomboa watu wa kule!
If it rings true,but would you rather have an armed thug as a friend because he helps you with what he robs others? this is rhetorical one don't answer as we all know the outcome!
 
Hivi EL aliposema UCHUMI wetu unapaa wewe ulikuwa Tanzania au wapi? Sifa moja ya watanzania wengi sio wafuatiliaji wa mambo consistently na siyo watunza kumbukumbu wa mtiririko wa visa au matukio yanayohusu siasa, uchumi au hata watu!! wanasahau haraka sana, hivi wewe Lowassa mpaka JK (Baba wa Taifa) anamkataa kwamba siyp presidential material ulikuwa wapi?

Kinachowatesa NYINYIEM kwa sasa ni kukataa mambo ambayo kambarage aliyasimamia kwa kucha na vidole, ndicho kinachowamaliza NYINYIEM.... stay tuned...

Kuhusu Nyerere kumkataa au kumkubali hakiwezi kuwa kigezo tosha kwa sasa hivi kwetu kumkubali au kumkataa kuwa Raisi, kwa maana maraisi wetu wote ukitoa Bw.Kikwete, (Bw. Mwinyi na Bw. Mkapa) waliletwa na kukubaliwa na yeye Bw.Nyerere mwenyewe tena wengine ni kama kutulazimisha tuwakubali tuu kwa maana tulikuwa hatuwajui lakni matokeo ya hao walioletwa na Nyerere sidhani kama mazuri sana, kwa hiyo hiyo hoja haisimami, labda kama kuna nyingine!
 
Hivi EL aliposema UCHUMI wetu unapaa wewe ulikuwa Tanzania au wapi? Sifa moja ya watanzania wengi sio wafuatiliaji wa mambo consistently na siyo watunza kumbukumbu wa mtiririko wa visa au matukio yanayohusu siasa, uchumi au hata watu!! wanasahau haraka sana, hivi wewe Lowassa mpaka JK (Baba wa Taifa) anamkataa kwamba siyp presidential material ulikuwa wapi? Kinachowatesa NYINYIEM kwa sasa ni kukataa mambo ambayo kambarage aliyasimamia kwa kucha na vidole, ndicho kinachowamaliza NYINYIEM.... stay tuned...

Kuhusu Nyerere kumkataa au kumkubali hakiwezi kuwa kigezo tosha kwa sasa hivi kwetu kumkubali au kumkataa kuwa Raisi, kwa maana maraisi wetu wote ukitoa Bw.Kikwete, (Bw. Mwinyi na Bw. Mkapa) waliletwa na kukubaliwa na yeye Bw.Nyerere mwenyewe tena wengine ni kama kutulazimisha tuwakubali tuu kwa maana tulikuwa hatuwajui lakni matokeo ya hao walioletwa na Nyerere sidhani kama mazuri sana, kwa hiyo hiyo hoja haisimami, labda kama kuna nyingine!
 
Ni heri kuwa na "mtuhumiwa" mwenye uwezo wa kufanyq haya hapa chini kuliko kuwa na mtu "asiyechafuka" lakini goigoi.
-mwenye maamuzi
-mwenye kujua tatizo letu
-mwenye solutions za matatizo yetu
-mwenye uwezo wa kujenga hoja
-mwenye udhubutu
Bila hivyo nchi itakuwa na viongozi wasafi wanaojua kuomba maji ila hali wamezungukwa na mito na maziwa

Mwizi ni mwizi tu!.. Huwezi kuwa na DOUBLE STANDARDS uadilifu wake unatiliwa shaka ni lazima akae pembeni. Amekuwa waziri muda mrefu. Angeweza kuwakomboa watz wakati huo, hivi sasa ni too late!.. hafai kupewa kazi hiyo!..
 
linganisha lowassa alivyokuwa waziri mkuu na huyu mtoto wa mkulima au sumaye

walio huru wa fahamu zao katika maswala ya siasa ndiyo wanaweza kuwa na mawazo kama yako big up sana. Wengi itikadi za siasa kishabiki, chuki, husda, wivu na majigambo vimekula ufahamu wao kiasi kwamba hata yenye afadhari kwao ni mbaya Still Mr Lowassa is a place holder of a Gud PM than Mtoto wa Mkulima
 
Baada ya kumsikiliza Bw. Lowasa (Waziri mkuu aliyepita) kwenye kipindi cha dakika 45 ITV kwa makini sana ninaweza kusema kwamba sijawahi tangu ufwatiliaji wangu wa siasa za hapa kwetu kusikia kiongozi akiongea mambo ambayo yamenigusa kama Bw. Lowasa.

Kwangu mimi ameonekana kama mtu anayeelewa ni nini hasa tatizo letu na kwa nini hatutoki hapa tulipo kwa mfano moja ya vitu alivyonigusa ni pale kwenye Mafuta, anasema kwamba ni lazima tununue mafuta kwa wingi PALE AMBAPO BEI YA MAFUTA INAPOKUWA CHINI (soko la Dunia) ili kuweza kufidia kwa wakati inapopanda, hiyo kwangu mimi ni reasoning ya hali ya juu na ninalazimika kusema sijawahi kusikia kiongozi wa Tz akiweza kuongea na kutoa reasoning kama hiyo, kingine ni kuhusu uwiano wa ukuaji wa Uchumi na mabadilko ya maisha ya mwananchi wa kawaida (trickle down effect) ameweza kuelezea nini kifanyike ili ukuaji wa uchumi uweze kumfikia mwananchi wa chini, hakuna kiongozi wa Tanzania niliwahi kumsikia akiongelea nini kifanyike kutatua matatizo wote wengine nawasikia ni kulialia tu na kulalamika bila kutoa au kushauri nini kifanyike!

Hivyo kwangu mimi pamoja na kusikia yote kuhusu huyu Bw. Lowasa ikiwemo tuhuma za mambo mbalimbali nafikiri ni mtu ambaye tukimtumia vizuri kwa njia yoyote ile, hata kwa usahuri tu, tunaweza kupata kitu!

Kama una maslahi binafsi na EL mtumie kuongoza kampuni yako coz aliyosema yamekugusa. Lowasa ni FISADI na kama si kweli aseme hadharani ninani aliyehusika na tuhuma ya richmond ili angalau watu wamuone anafaa kupewa uwenyekiti wa kitongoji na si Taifa. HANA UWEZO WA KUONGOZA NCHI YEYOTE HAYA ANAONGEA KWA KUWAFURAHISHA MBUMBU. OVER.
 
Lowassa once said "Mimi na Rais Kikwete hatukukutana barabarani". REAL?!?!?!?!

_49601633_kikwete-lowassa.jpg


Dr. Huxtable (Bill Cosby show) said ‘SHOW ME YOUR FRIENDS AND I WILL SHOW YOU YOUR FUTURE’
Lowasa was a mistake then.he is a scandal now,he will be a disaster tomorrow .....mark my words
 
Uzuri wa mtu unapimwa kwa hotuba?


Inashangaza yaani mkuu......jamaa anaitwa Kijakazi lakini

Mbona ni simple home economic tu hata wakati wa mvua ni vema kununua mkaa mwingi kwani ni wazi utapanda bei tuuu
 
they preach about water while they drink wine
wale wale tuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Uzuri wa mtu unapimwa kwa hotuba?

ENL ni mpenda kugawanya kuliko kuunganisha. Alikuwa SUA akasema eti wafugaji waingizwe kwenye katiba, hivi katiba wanaingizwa makundi au watanzania? Mi bado napingana na namna hii ya kututenganisha watanzania kwa makundi makundi eti wafugaji, wavuvi, wakulima, wachimba dhahabu n.k huku ni kutugawanya. Taifa linapaswa kutambua uwepo wa makundi mbalimbali lakini hivi mi nikifuga nami nitatambulika kama mmasai? Nikilima nitatambulika kama nani? Nikivua nitatambulika kama nani? Na je kufuga ni hadi ufuge ng'ombe tu, mbona kuna wafugaji wa samaki kibao huku kwetu kwa akina Mutarubukwa? Nao waombe waingizwe peke yao kwenye katiba? Watanzania tukatae hoja nyepesi zinazolenga kutugawa kama zinavyokuja tena za akina Ponda na mkuu wa kaya juu ya dini tuwakatae akina ENL na JK katika agenda zao mbaya na mufilisi
 
Inawezekana lakini mimi binafsi siajawahi kumsikia kiongozi akijaribu kuchambua na kuelezea tatizo ni nini na nini kifanyike na ukiyapima yako ndani ya uwezo wetu, na sio kuongelea kwamba sijui watanzania tunadharaulika kwa maana hatuji kuvaa suti vitu kama hivyo!

kijakazi mbona unahangaika sana kulisafisha hili fisadi tu, hili li nywele nyeupe halifai kuongoza hili taifa. kama lilikubali mpango wa kutusaliti watanzania, si ajabu likaja likakubali kutumiwa hata na waingereza au wamarekani kutusaliti tena. simba ni simba tu, hata akiloana, huwezi kumuita mbwa. hili linywele nyeupe sio la kuamini hivihivi, kwani yeye aliandikiwa na Mwenyezi Mungu kwamba kwenye maisha yake lazima awe rais?? aende zake kule, wapo watanzania wengine ambao hawana walakini wala mushkeli wanaoweza kutuongoza, sio huyu nywele nyeupe. mimi sina imani na huyu jamaa, uwezekano wa kutugeuka ni mkubwa, na by that time, tutakuwa hatuna pa kukimbilia, HIVI KWELI WATANZANIA HATUNA WATU WENGINE WA KUTUONGOZA?? NI LAZIMA HUYUHUYU TU NYWELE NYEUPE, kwa nini wanzania mnamng'ang'ania huyuhuyu tu.
 
Kama umetumwa na Lowassa au unajikomba umeshindwa hata kabla ya kuanza. Unadhani watanzania hawana akili kiasi cha kupwakia uchafu na urongo wako? Katafute kazi nyingine ufanye hii huiwezi. Kudhani kuwa Lowassa atawashawishi watanzania wamchague akawaibie ni sawa na kujaribu kumfufua maiti. Kama ni uganga wa kienyeji basi umekwama vilivyo. Lowassa is a dead meat politcally. He is praying pro mora finis jambo ambalo haliwezekani.
 
Mwanasiasa siku zote huongea mambo anayotaka mwananchi ayasikie swahiba wake si ndio alihaidi maisha bora kwa kila mtanzania yeye alikuwa na nafasi nzuri kutuonyesha kwa vitendo nini anafanya alipokuwa waziri mkuu anajisifia kwa shule za kata ambazo mpaka sasa hivi hazina walimu wa kutosha na kama zingekuwa nzuri mbona hakuna mtoto hata mmoja wa kiongozi anayesoma shule hizo.aliharibu kwa kuleta walimu wa voda fasta,alishiriki kumchafua Dk salim kupitia magazeti ili mradi wapange safu yao ya uongozi kitendo ambacho mpaka sasa kinaigharimu nchi.Kupitia vodacom ni miongoni mwa wakewpaji wakubwa wa kodi kwa kifupi hafai aende kwa mchungaji Joshua au atumie vyomba vya habari na wapambe wake ameshachafuka ndio maana Mwalimu Nyerere alimkataa kwani alikuwa anamjua kwa ndani
 


Hilo swali lingine, lakini nafikiri kama kumbukumbu yangu iko sahihi hakuwa Waziri Mkuu kwa muda mrefu kuweza kufanya mambo mengi anyway simtetei, ila kwangu hata mimi nilikuwa pia na maoni tofauti kuhusu huyu bwana kutokana na ninayoyasikia kuhusu yeye na kwa bahati mbaya sikuwahi kumsikia akiongea mpaka nilipokuja kumsikia hivi karibuni na naweza kusema imenibadilisha kiasi fulani mtazamo wangu juu yake!

Nimeongolea tu yale niliyoyasikia akiyasema na kulinganisha na yale wanayoyasema viongozi wengine wengi wanapopewa nafasi ya kueleza ni nini kifanyike katika nchi!




Kama nyie ndiyo type ya ma strategist aliyenao na anawategemea kumfikisha anakotaka kufika basi kazi anayo!
 
Kama nyie ndiyo type ya ma strategist aliyenao na anawategemea kumfikisha anakotaka kufika basi kazi anayo!

wacha kupindisha mambo, wapi nimesema mimi ni strategist wa Bw. Lowasa? Nimesema nimeangalia TV alikuwa anahojiwa nikavutiwa na alichokisema na uwezo wake wa kujibu maswali (kulingana na mwono wangu) sasa hayo mambo ya ustrategist yametoka wapi?

Mbona unabehave ki-CCm kwamba kwa kuwa sikubaliani naye wacha nimtukane au nimpige risasi! Hatufiki hivyo!

 
We ni kijakazi wa Lowassa no doubt

Eti mafuta
wakati nchi ina gesi ambayo ni nishati mbadala?
tunaweza tumia gesi na kupunguza kabisa kununua mafuta kwa kiwango kikubwa

na je mbona Zambia wananunua kupitia bandari ya Dar lakini bei zipo chini?

South Africa je?

inflation je?

dollarization je?

Lowass was a mistake then.he is a scandal now,he will be a disaster tomorrow .....mark my words


Umesema kweli kabisa na mimi binafsi sitarajii lolote la maana kutoka kwa EL kama atakuwa Rais. Hivi upande wake amejikusanya na kina nani? Nani kasema ni lazima yeye awe Rais kwa gharama yoyote ile? Ukiona analazimisha sana pengine kuna kundi ambalo linamtuma akawatumikie...
 
Kati yake na waliopo atakauwa hatekelezi ilani ya CCM?Nitampenda kumwona katika mechi za mchangani huko CCM akiingia ktk mikutano 6 akiwa anacheza show .Najua atamtisha vya kutosha na itakuwa mechi nzuri.
 
Back
Top Bottom