Safi sana, tutajiandikisha kwa wingi.
Vituo ni sehemu zile ambazo huwa zinatumika kupiga kura wakati wa uchaguzi mkuu. Mara nyingi ni majengo ya shule za msingi au sekondari, vyuo vya serikali na ofisi za serikali. Lakini kwa maelezo zaidi waweza enda ofisi ya serikali ya mtaa wako wakakuelekeza zaidi.Naomba kujua vituo mm npo sinza vatcan
Sehemu Bvr ilipopita mikoani Ccm wanakataza watu wasijiandikishe wana hofu na wananchi wameshawakata