Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,864
- 155,820
kulaleki hii ni soo
Jamamaa wamekosa vitoweo kabisa mpaka wale watu? ni ushetani tuu huu, sasa hata watu wao wakifa wanazikwa au wanaliwa pia?
This is a MYTH mkuu,hakuna kitu kama hiyo.BISHUBA aka UONGO.
nani aliyeanzisha uvumi huu, na kwanini alipalenga Buzi na si sehemu nyingine?
Hivi hakuna mtu wa Buzi atupe ukweli kuhusu haya madai ya kula watu??????????
This is a MYTH mkuu,hakuna kitu kama hiyo.BISHUBA aka UONGO.
Jamani niko mkoani Kagera nikazi, nimetahadharishwa nisiende kijiji cha Buzi, wanakula nyama za watu, nasikia hata wamachinga hawaendi huko kufanya biashara.
wana kula tena sana walimla baba mdogo wangu alikua anafundisha Hekima girls sec.school..anaitwa peter kamugisha mwalimu wa hesabu..ni wala watu usiende ndugu..wajinga sana hao.
Jamani niko mkoani Kagera nikazi, nimetahadharishwa nisiende kijiji cha Buzi, wanakula nyama za watu, nasikia hata wamachinga hawaendi huko kufanya biashara.