Buzi Bukoba wanakula nyama za watu

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
4,059
4,055
Jamani niko mkoani Kagera kikazi, nimetahadharishwa nisiende kijiji cha Buzi, wanakula nyama za watu, nasikia hata wamachinga hawaendi huko kufanya biashara.
 
mkuu labda maeneo ya kiziba ndo yanaogopeka.na hiyo ilikua zamani sana.mkuu kwa ufupi huo ni uzushi na hakuna kitu kama hicho.kam ndivyo katoe taarifa polisi hilo swala lishughulikiwe.Au nimeelewa vibaya unamaanishwa kuliwa wapi/kivipi?mia
 
hahahaaaaaaaa, umenikumbusha mbali chali angu..
niliwahi ambiwa ya kwamba machinga wawili walienda Buzi kufanya biashara..walipatwa na kiu na wakaenda nyumba ya jirani kuomba maji ya kunywa. Wenyeji walikua wakarim sana wakawakaribisha ndani na wakapewa viti wakae..chini ya vigoda ulikuepo mkeka, na chini ya mkeka kulikuepo shimo refu na ndani yake kulikua na mishale.
machinga wakwanza alivyo kaa tu kigoda kikadidimia na aka chomwa na mishale mpaka kufa..mwenzake akakimbia na kuwaita polisi..
kufika, walikuta jamaa ashashughulikiwa kitambo kawekwa kwenye zinga la sufuria anachemshwa....lol
 
Muongo mkubwa!
 
Tena kuna mzungu nasikia alienda huko, jamaa wakamchinja, wenzake wakati wanamtafuta wakakuta mwenzao kachunwa ngozi, tayari kwa kuwekwa jikoni apikwe
 
hahahaaaaaaaa, umenikumbusha mbali chali angu..
niliwahi ambiwa ya kwamba machinga wawili walienda Buzi kufanya biashara..walipatwa na kiu na wakaenda nyumba ya jirani kuomba maji ya kunywa. Wenyeji walikua wakarim sana wakawakaribisha ndani na wakapewa viti wakae..chini ya vigoda ulikuepo mkeka, na chini ya mkeka kulikuepo shimo refu na ndani yake kulikua na mishale.
machinga wakwanza alivyo kaa tu kigoda kikadidimia na aka chomwa na mishale mpaka kufa..mwenzake akakimbia na kuwaita polisi..
kufika, walikuta jamaa ashashughulikiwa kitambo kawekwa kwenye zinga la sufuria anachemshwa....lol

Ahahaha,we jamaa bana umenifurahisha
 
mkuu labda maeneo ya kiziba ndo yanaogopeka.na hiyo ilikua zamani sana.mkuu kwa ufupi huo ni uzushi na hakuna kitu kama hicho.kam ndivyo katoe taarifa polisi hilo swala lishughulikiwe.Au nimeelewa vibaya unamaanishwa kuliwa wapi/kivipi?mia
ukatoe taarifa polisi wakati umeshaliwa???? TETESI ZIMEZAGAA SANA. NASIKIA UKIKARIBISHWA KWENYE YALE MAJANI YAO YA KUKALIA, GHAFLA UNATUMBUKIA KWENYE SHIMO REEEEFU.....TAYARI UMESHAKUWA KITOEO/MSOSI. INAWEZA KUWA KWELI AU UZUSHI.
 
Jamani niko mkoani Kagera nikazi, nimetahadharishwa nisiende kijiji cha Buzi, wanakula nyama za watu, nasikia hata wamachinga hawaendi huko kufanya biashara.
Hivi hakuna mtu wa Buzi atupe ukweli kuhusu haya madai ya kula watu??????????
 
wana kula tena sana walimla baba mdogo wangu alikua anafundisha Hekima girls sec.school..anaitwa peter kamugisha mwalimu wa hesabu..ni wala watu usiende ndugu..wajinga sana hao.
Mbona wanatisha hao nilitaka kwenda likizo nitahakikisha napita mbali na eneo hilo!!!!!!!!!
 
Sema BUGABO-BUZI....Kuna tetesi za miaka mingi sana kuhusu BUZI kula nyama za watu.Lakini pia ni kata ambayo inaongoza kuwa ma MAPADRI na MASISTA wengi katika Jimbo Katoliki Bukoba..Huwa sipati picha kwa huo mlinganyo KULA WATU NA KUWA NA MAPADRI NA MASISTA WENGI katika kila nyumbani
 
wana kula tena sana walimla baba mdogo wangu alikua anafundisha Hekima girls sec.school..anaitwa peter kamugisha mwalimu wa hesabu..ni wala watu usiende ndugu..wajinga sana hao.
asante sana kwa kutufumbua macho.siendi ng'o.
 
Back
Top Bottom