Buyobe: Kamishna wa ardhi Dar hakutakiwa kubaki ofisini baada ya hili alilotamka RC Chalamila

Buyobe: Kamishna wa ardhi Dar hakutakiwa kubaki ofisini baada ya hili alilotamka RC Chalamila

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,177
Reaction score
7,472
G3sSxWJXAAEDa42.jpg

G3sSxchXMAACq4J.jpg

Screenshot 2025-10-20 154930.jpg

Kupitia Ukurasa wake wa X (Twitter), Fortunatus Buyobe ameitag taarifa ya SwahiliTimes kuhusu Mjane kurejeshewa umiliki wa nyumba aliyoilalamikia hivi karibuni, kisha Buyobe akaandika:

Kamishna wa ardhi mkoa wa Dar es Salaam hakutakiwa kubaki ofisini baada ya hili. Huyo aliyekuwa anamtoa kinguvu kwenye nyumba kachukuliwa hatua gani? Madalali waliohusika wamechukuliwa hatua gani?


==============================

TAARIFA YA SWAHILITIMES
Mjane Alice Haule aliyevamiwa na kuondolewa nyumbani kwake kwa nguvu na mfanyabiashara Mohamed Yusufali, amerejeshewa hati ya nyumba kama msimamizi wa mirathi ya marehemu mume wake, Justice Rugaibula.

Yusufali alisema alinunua nyumba hiyo iliyopo Mikocheni, Dar es Salaam kutoka kwa marehemu kabla ya kifo chake Mwaka 2011.
 
Mbona kamishna alishanyoosha maelezo,kipengele kilichobaki na nilikuwa nasubili kukisikia ili na mimi nijifunze ni kuwa imekuwaje signature ya mama kuwepo kwenye hati ilihali yeye anapinga kuhusika kwenye mauzo
 
Back
Top Bottom