Butimba: Mahabusu wawili na mfungwa mmoja wafariki dunia wakipatiwa matibabu baada ya kupigwa wakati wakijaribu kutoroka

Kama huyajuwi mambo ya Misikitini tafadhali usikurupuke.

Msikitini unaweza kwenda kuuliza chochote wakati wwowote nanuwe wa Imani yoyote na utapewa jibu.

Msikiti upi lioenda wewe hujapewa jibu ya swali lako?
Tatizo jingine hili.
 
Hii habari ina maswali mengi afu majibu hakuna, 1.hao wafungwa walikuwa wametoroka gerezani hivyo walikuwa nje wakakutana na raia wakawahisi wametoroka gerezani na kisha kuwashushia kipigo!!!!??? 2.walimzidi nguvu askari hivyo akaomba msaada wa raia kisha raia wakafanya yao!!!??? HAIINGII AKILINI,HAO WAMEPATA KIPIGO WAKIWA NDANI YA GEREZA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana na mfano, jikite kwenye hoja.... kila mwenye kuhitaji ufafanuzi aende Butimba..?
Umetajwa msikiti na huyu ni muumini wa Dini ya Kiislamu alichofanya ni sahihi kabisa kumjibu muhusika. Hakuna sehemu ambayo hua na maswali mengi kwenye hoja kama msikitini. Huwezi kuja na mashudu yako ukawalisha watu wakakuangalia tu,Dada yuko sahihi kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bibi tulia uandike vizuri basi
Sawa, hakuna matata. Soma tena...

Kama huyajuwi mambo ya Misikitini tafadhali usikurupuke.

Msikitini unaweza kwenda kuuliza chochote wakati wowote na uwe wa Imani yoyote na utapewa jibu.

Msikiti upi ulioenda wewe hujapewa jibu la swali lako?
 
Achana na mfano, jikite kwenye hoja.... kila mwenye kuhitaji ufafanuzi aende Butimba..?
Msikiti huwezi kuutolea mfano wa uongo Waislam tukakaa kimya.

Uislam unahimiza watu kuhoji na Maimam kazi yao kubwa ni kuwa viongozi wa jamii na kuelimisha watu wote wenye maswali mbali mbali, wawe au wasiwe Waislam. Kumbuka hilo.
 
Akili yako inaweza kufikiria kitu kingine zaidi ya dini uliyoletewa kwa majahazi?
Kama huyajuwi mambo ya Misikitini tafadhali usikurupuke.

Msikitini unaweza kwenda kuuliza chochote wakati wowote na uwe wa Imani yoyote na utapewa jibu.

Msikiti upi ulioenda wewe hujapewa jibu la swali lako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaamini mwezi uliwahi kupasuka vipande viwili halafu ukarudi kama awali?
Umetajwa msikiti na huyu ni muumini wa Dini ya Kiislamu alichofanya ni sahihi kabisa kumjibu muhusika. Hakuna sehemu ambayo hua na maswali mengi kwenye hoja kama msikitini. Huwezi kuja na mashudu yako ukawalisha watu wakakuangalia tu,Dada yuko sahihi kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuja hapo Butimba. Mmewaua kwa kusadikika wana corona. Full stop.

Naona unaleta propaganda. Haya pangua na hiyo.

Sent using iphone pro max
 
Back
Top Bottom