Butimba: Mahabusu wawili na mfungwa mmoja wafariki dunia wakipatiwa matibabu baada ya kupigwa wakati wakijaribu kutoroka

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
4,762
4,576
Mahabusu wawili na mfungwa mmoja wamefariki Dunia walipokuwa wakipatiwa matibabu, baada ya kushushiwa kichapo na wananchi kufuatia jaribio la kutaka kutoroka katika gereza kuu la Butimba mkoani Mwanza.

5.jpg
 
Chanzo: EATV - Facebook Page
Kwanini wananchi wamechukua sheria mkononi? Kwanini imetuka nguvu kubwa kiasi hicho?je Askari wa Hilo gereza walikuwa wapi Hadi wafungwa watoreke na wauwawe na raia?
 
Hivi siku hizi Jf haina Mods,kuna nyuzi wanatakiwa wawe wanazifuta tu.
Mtu analeta kitu humu,hataki kuulizwa,ukimbana zaidi anakwambia njoo mahali alipoptoa taarifa ili kupewa ufafanuzi na Mods unaacha tu mambo ya ajabu klufanyika katika forums,Mods sijui mnafanya kazi gani,yani hamueleweki.
Acha kelele njoo upate ufafanuzi usiogope mkuu
 
Back
Top Bottom