1. Je, ni nani aliyeleta IDEA ya Royal Tour kwenye meza ya IKULU na ni nani aliyependekeza Rais wa nchi awe Tour Queen na kuzunguka na mwandishi wa habari kukamilisha zoezi hilo?
Kuna Wizara ya Utalii ambayo jukumu lake kubwa ni kutangaza vivutio vya nchi, kitendo cha Rais kuingilia hili jukumu, nini tafsir yake ?
A. Rais hana majukumu ya msingi?
B. Nchi imepoteza muelekeo
C. Hatuna ajenda na njia mojawapo ya kuruhusu upigaji wa fedha kwa maana process zima na matumizi yake ya fedha haupo clear
Nchi inamatatizo mengi sana yanayohitaji attention ya Rais , nchi kukaa bila Rais takriban wiki 2 nzima inaleta tafsiri gani kwenye Financial Management and security state ya nchi? Who leads the country behind the scene?
2. Rais kuwa Free na Kuingililika kirahisi na mwandishi wa habari na kundi lake na kuzunguka nae kama anazunguka na mtu wa kawaida inaleta tafsiri gani kwenye uimara na ulinzi wa nchi yetu?
Je kulikuwa na ulazima gani rais kuwa Tour Queen ? Mbona tunawatu wenye ushawishi Tanzania wangeweza kutumika,Rais angeweza kuonekana kwenye Tour kipande kidogo tu ikiwa ni sehemu ya kuweka baraka zake, je hili lililotokea ni tafsiri kuwa nchi imepoteza agenda za msingi?
Kwa namna ambavyo alikuwa akishikwa na kale kamwandishi kahabari, hii kama taifa inaleta tafsiri gani na heshima kwa taifa letu?
It was wrong idea kwa aliyependekeza rais kuwa Tour Queen , kuna kitu nyuma ya pazia hakipo sawa, let’s pay attention. It is not just a royal tour.
It was wrong idea kwa Amiri Jeshi Mkuu wa nchi kukamatana mkono na yule mzungu kwa style ile; hata kama sio romantic but kwa culture zetu za kitanzania , that is a sign of inferiority complexly to the president, Unless kama angekuwa ni husband wake.
Serikali ilishatangaza kifo cha JPM kilisababishwa na matatizo ya moyo aliyoishi nayo takribani kipindi chote cha uhai wake, kitendo cha mzungu ku elaborate ile claim kwamba JPM alikufa na COVID 19, ni matusi kwenye idara ya usalama wa taifa na ni matusi kwenye taasisi ya ikulu... such claim haikutakiwa kuwa ni sehemu ya mazungumzo ya Royal Tour ... its a shame.
Pamoja na misaada yao, mzungu hajawahi kuwa mtu mwema kwa black people.
The whole Royal Tour is a big TIME behind the scene na ni jukumu letu watanzania ku pay attention;
something is wrong kwenye huu utawala, something is not okay kwenye huu utawala.