Buswati la Royal Tour

Buswati la Royal Tour

Tunaambiwa waarabu wa loliondo ni miongoni mwa waluochangia

Kumbuka hawa waarabu ndio wanataka wamegewe nchi kule ngororongoro
Ndugu zake mama warabu wenzie wameinunua Ngororo
 
Nimesema sitetei Royal Tour, naelimisha tu kwamba rais kuwa kwenye Royal Tour ndiyo format ya documentary na hatujaanzisha sisi.

Serikali yetu ina usiri sana, haina uwazi unaotakia. Jambo hili linaweza mwanya wa rushwa. Na hata pale ambapo hapana rushwa, wananchi, kwa kuwa hawana taarifa, wanakuwa na wasiwasi wa rushwa na ubadhirifu.

Kanuni za habari zinasema hakutakiwi kuwepo na ombwe la habari.

Serikali ilitakiwa kutangaza mapema inataka kufanya nini na vipi, mambo ya Royal Tour yalitakiwa kufanywa wazi, ikiwezekana kwa tender process, ilitakiwa pesa zilipotoka ziwekwe wazi, tujue nani katoa fedha gani, kwa minajili gani, watu walitakiwa kushirikishwa awali kabisa.

Rais kuweka kambi nje wala si issue, si issue kabisa kama kunaleta tija rais anaenda kuhojiwa na CNN, MSNBC, CBS, PBS,The Wall St. Journal, The New York Times, The Washington Post etc. Kama ziara ina tija wala hakuna shida rais kukaa nje wiki moja au mbili. After all katika zama hizi za teknolonia rais anaweza kuwa nje lakini akafanya kazi kamanyupo nchini, completely with mikutano over the internet.

Hizi habari za kumdhalilisha kiongozi wa nchi sijazielewa bado, labda tumemfanya rais kuwa kama Mungu fulani hivi
Kiranga acha maneno mengi sana, mbona una kiranga sana wewe.! Maelezo mengi ,
jibu swali hili hapa chini la muheshimiwa Kalamu1. 👇🏾👇🏾👇🏾

Hawa nao viongozi wao walikwenda kuweka kambi huko nje kama tunavyofanya sisi?

Nchi hizi nao waliwatumia watu binafsi wasiojulikana kufadhili 'Royal Tour' zao?

Bila shaka kutakuwa kuna tofauti mbalimbali katika yaliyofanyika na ambayo hayakufanyika kufuatana na matakwa ya nchi hizo.

Sisi matakwa yetu, kama kweli ni yetu, yanaonyesha kumdhalilisha kiongozi wa nchi na nchi yenyewe.
 
Kiranga acha maneno mengi sana, mbona una kiranga sana wewe.! Maelezo mengi ,
jibu swali hili hapa chini la muheshimiwa Kalamu1.

Unajua kusoma kwa ufahamu?

Nikijibu swali na kuliweka jibu chini ya pua yako utaliona jibu au utasema nimeandika maneno mengi?

Kama haya maneno mengi utaweza kusoma "War and Peace"?

Uvivu wako wa kusoma halafu lawama unanipa mimi?

Kujamba ujambe wewe, lawama unipe mimi?
 
Unazunguka tu, hujaeleza chochote kinachoeleweka.
Andiko lako pale juu halijibu swali hata moja kati ya yale niliyouliza. Wala haieleweki unatetea jambo gani kati ya yale yaliyoguswa kwenye maswali niliyouliza.
 
something is wrong kwenye huu utawala, something is not okay kwenye huu utawala.
Hakuna mahala binadamu amewahi ridhika,
Wakati wa Nyerere Maneno,
Wakati wa Mwinyi Maneno,
Wakati wa Mkapa maneno,
Wakati wa Kikwete Maneno,
Wakati wa Magufuli maneno,
Wakati wa Samia naye maneno,
Hv ni lin ninyi wanadamu mtakuja shukuru kwa jema katika utawala uliopo?
 
Unazunguka tu, hujaeleza chochote kinachoeleweka.
Andiko lako pale juu halijibu swali hata moja kati ya yale niliyouliza. Wala haieleweki unatetea jambo gani kati ya yale yaliyoguswa kwenye maswali niliyouliza.
Huwezi kuelewa non-Euclidean Geometry kama huelewi hata axioms za Euclidean geometry zikoje.

Sina muda wa kujadiliana na watu ambao hata hatuwezi kukubaliana kuhusu framework ya majadiliano.

Mtu unaniambia sijakujibu hata swali moja, huoneshi kwa nini sijakujibu ili tuchambue kama nimekujibu au sijakujibu.

Wewe si mjinga tu, wewe ni mjinga mvivu.
 
Wamatumbi wangelalamika tu SSH afanye au asifanye.
 
Umeandika mengi mwishoni kabisa umekuja na CHADEMA kama mbadala wa CCM ndio ulipobugi mazima. Rwanda na Israel walifanya kitu kama royal tour na leo hii wapo juu sana kiuchumi.

Kagame alipofanya biashara na Arsenal na kulipa pesa nyingi ili aitangaze nchi yake, wajuaji wa humu nchini walilalamika kama kawaida yao, ni mpaka Messi na Neymar walipokuja kuvaa fulana zenye kukaribisha watu Rwanda ndio watu wakatambua Kagame alilenga wapi kwenda kimataifa zaidi.

Royal Tour katika uchanga na upya wake kila mtu atakuja na maneno yake, atakuja na mchango wake, tuipe muda siku zote muda huwa unaongea.
Sikatai hoja zako.. lakini oligarchs watakuja na wata invest kwa kasi sana ndani ya NCA.
Je, tupo tayari kunufaika??
 
Huwezi kuelewa non-Euclidean Geometry kama huelewi hata axioms za Euclidean geometry zikoje.

Sina muda wa kujadiliana na watu ambao hata hatuwezi kukubaliana kuhusu framework ya majadiliano.

Mtu unaniambia sijakujibu hata swali moja, huoneshi kwa nini sijakujibu ili tuchambue kama nimekujibu au sijakujibu.

Wewe si mjinga tu, wewe ni mjinga mvivu.
Huwezi kuelewa non-Euclidean Geometry kama huelewi hata axioms za Euclidean geometry zikoje.
Sasa hizi takataka hapa zinasaidia kitu gani kama siyo kuonyesha ulimbukeni! Haya mimi yatanisaidia kitu gani.

Ina maana huna uwezo wa kujifunza chochote. Unaendeleza yale yale tuliyokwishayamaliza kati yetu siku nyingi zilizokwishapita hapa hapa JF.
 
1. Je, ni nani aliyeleta IDEA ya Royal Tour kwenye meza ya IKULU na ni nani aliyependekeza Rais wa nchi awe Tour Queen na kuzunguka na mwandishi wa habari kukamilisha zoezi hilo?

Kuna Wizara ya Utalii ambayo jukumu lake kubwa ni kutangaza vivutio vya nchi, kitendo cha Rais kuingilia hili jukumu, nini tafsir yake ?
A. Rais hana majukumu ya msingi?
B. Nchi imepoteza muelekeo
C. Hatuna ajenda na njia mojawapo ya kuruhusu upigaji wa fedha kwa maana process zima na matumizi yake ya fedha haupo clear

Nchi inamatatizo mengi sana yanayohitaji attention ya Rais , nchi kukaa bila Rais takriban wiki 2 nzima inaleta tafsiri gani kwenye Financial Management and security state ya nchi? Who leads the country behind the scene?

2. Rais kuwa Free na Kuingililika kirahisi na mwandishi wa habari na kundi lake na kuzunguka nae kama anazunguka na mtu wa kawaida inaleta tafsiri gani kwenye uimara na ulinzi wa nchi yetu?

Je kulikuwa na ulazima gani rais kuwa Tour Queen ? Mbona tunawatu wenye ushawishi Tanzania wangeweza kutumika,Rais angeweza kuonekana kwenye Tour kipande kidogo tu ikiwa ni sehemu ya kuweka baraka zake, je hili lililotokea ni tafsiri kuwa nchi imepoteza agenda za msingi?

Kwa namna ambavyo alikuwa akishikwa na kale kamwandishi kahabari, hii kama taifa inaleta tafsiri gani na heshima kwa taifa letu?

It was wrong idea kwa aliyependekeza rais kuwa Tour Queen , kuna kitu nyuma ya pazia hakipo sawa, let’s pay attention. It is not just a royal tour.

It was wrong idea kwa Amiri Jeshi Mkuu wa nchi kukamatana mkono na yule mzungu kwa style ile; hata kama sio romantic but kwa culture zetu za kitanzania , that is a sign of inferiority complexly to the president, Unless kama angekuwa ni husband wake.

Serikali ilishatangaza kifo cha JPM kilisababishwa na matatizo ya moyo aliyoishi nayo takribani kipindi chote cha uhai wake, kitendo cha mzungu ku elaborate ile claim kwamba JPM alikufa na COVID 19, ni matusi kwenye idara ya usalama wa taifa na ni matusi kwenye taasisi ya ikulu... such claim haikutakiwa kuwa ni sehemu ya mazungumzo ya Royal Tour ... its a shame.

Pamoja na misaada yao, mzungu hajawahi kuwa mtu mwema kwa black people.

The whole Royal Tour is a big TIME behind the scene na ni jukumu letu watanzania ku pay attention;

something is wrong kwenye huu utawala, something is not okay kwenye huu utawala.
Kwa nini hakuna anayejua hizi filamu za "Royal Tour" hazikuanza Tanzania?
Ni mfululizo wa filamu kuhusu nchi mbalimbali. Huyu Bwana Greenberg alipata tayari maraisi, wafalme na mawaziri wakuu wa nchi kama Jordan (akiongozana na mfalme Abdallah), Israeli na Newzealand (na mawaziri wakuu Netanyahu na Clark), Mexiko na Rwanda (akiongozana na marais Calderon na Kagame).
Hao wote walitangulia kumwongoza Greeneberg katika nchi zao. Yule Bwana anaweka filamu zake kwenye TV ya CBS ambako mamilioni wanaiangalia, na filamu zake zinanunuliwa pia na TV za nchi nyingine.
Ukitaka biashara, tangaza. (hii angalau elimu kati ya watu wanaofaulu biashara).
Ukitaka kufikia wateja wengi, tangaza penye wengi (Marekani ni soko kubwa zaidi duniani hadi sasa)
 
1. Je, ni nani aliyeleta IDEA ya Royal Tour kwenye meza ya IKULU na ni nani aliyependekeza Rais wa nchi awe Tour Queen na kuzunguka na mwandishi wa habari kukamilisha zoezi hilo?

Kuna Wizara ya Utalii ambayo jukumu lake kubwa ni kutangaza vivutio vya nchi, kitendo cha Rais kuingilia hili jukumu, nini tafsir yake ?
A. Rais hana majukumu ya msingi?
B. Nchi imepoteza muelekeo
C. Hatuna ajenda na njia mojawapo ya kuruhusu upigaji wa fedha kwa maana process zima na matumizi yake ya fedha haupo clear

Nchi inamatatizo mengi sana yanayohitaji attention ya Rais , nchi kukaa bila Rais takriban wiki 2 nzima inaleta tafsiri gani kwenye Financial Management and security state ya nchi? Who leads the country behind the scene?

2. Rais kuwa Free na Kuingililika kirahisi na mwandishi wa habari na kundi lake na kuzunguka nae kama anazunguka na mtu wa kawaida inaleta tafsiri gani kwenye uimara na ulinzi wa nchi yetu?

Je kulikuwa na ulazima gani rais kuwa Tour Queen ? Mbona tunawatu wenye ushawishi Tanzania wangeweza kutumika,Rais angeweza kuonekana kwenye Tour kipande kidogo tu ikiwa ni sehemu ya kuweka baraka zake, je hili lililotokea ni tafsiri kuwa nchi imepoteza agenda za msingi?

Kwa namna ambavyo alikuwa akishikwa na kale kamwandishi kahabari, hii kama taifa inaleta tafsiri gani na heshima kwa taifa letu?

It was wrong idea kwa aliyependekeza rais kuwa Tour Queen , kuna kitu nyuma ya pazia hakipo sawa, let’s pay attention. It is not just a royal tour.

It was wrong idea kwa Amiri Jeshi Mkuu wa nchi kukamatana mkono na yule mzungu kwa style ile; hata kama sio romantic but kwa culture zetu za kitanzania , that is a sign of inferiority complexly to the president, Unless kama angekuwa ni husband wake.

Serikali ilishatangaza kifo cha JPM kilisababishwa na matatizo ya moyo aliyoishi nayo takribani kipindi chote cha uhai wake, kitendo cha mzungu ku elaborate ile claim kwamba JPM alikufa na COVID 19, ni matusi kwenye idara ya usalama wa taifa na ni matusi kwenye taasisi ya ikulu... such claim haikutakiwa kuwa ni sehemu ya mazungumzo ya Royal Tour ... its a shame.

Pamoja na misaada yao, mzungu hajawahi kuwa mtu mwema kwa black people.

The whole Royal Tour is a big TIME behind the scene na ni jukumu letu watanzania ku pay attention;

something is wrong kwenye huu utawala, something is not okay kwenye huu utawala.
Heloow piraa
 
Nahisi hii nchi tuko na tatizo la kisaikolojia sasa;

Kila tukimuangalia MAMA tunaona kama anatuangalia kwa dharau hivi halafu katoka kanchi kadogo halafu mwanamke -inferiority complex

Kwa hiyo na sisi ili kujionesha wababe tunamjibu kwa kudharau kila anachofanya.

Na yeye anaona mnaleta dharau basi anaamua kufanya anachofanya na kuwachana laivu kibabe💪

Solution; Psychological counselling -Wapi DR. Elli? Nnaweza kuwa nimefupisha na kurahisisha sana vijifact ila msingi unabaki kuwa tuko na tatizo kubwa sana la kisaikolojia
 
Back
Top Bottom