Buswati la Royal Tour

Buswati la Royal Tour

Watu kama nyie ni wakukamatwa kwa kueneza uzushi
Uzushi ni upi na ukweli ni upi?
Kwamba uambiwe tu kuna watu walichanga fedha zao zitumike ROYAL TOUR then liishie hapo?

FaizaFoxy je, huyu naye tumweke kwenye kundi la walioenda shule kusomea ujinga?
 
Serikali ilishatangaza kifo cha JPM kilisababishwa na matatizo ya moyo aliyoishi nayo takribani kipindi chote cha uhai wake, kitendo cha mzungu ku elaborate ile claim kwamba JPM alikufa na COVID 19, ni matusi kwenye idara ya usalama wa taifa na ni matusi kwenye taasisi ya ikulu... such claim haikutakiwa kuwa ni sehemu ya mazungumzo ya Royal Tour ... its a shame !

Pamoja na misaada yao, mzungu hajawahi kuwa mtu mwema kwa black people
Mkuu Megalodon , kwenye hii hoja, you have a point. Aliyetangazia taifa kifo cha JPM ni Rais Mama Samia, Tangazo lile ndio the official version ya kutangazia dunia kuhusu msiba huo na the cause of death. Haiwezekani Mzungu atoke huko alikotoka, amseme vibaya JPM, amtungie uongo kuwa alikufa kwa Covid 19, mbele yako halafu wewe useme yes!.

Kifo ni kifo, na hakuna ubaya wowote Kwa mtu yoyote kufa kwa Covid 19, na wala sio ugonjwa wa aibu!, baada ya kuiona The Royal Tour, kuna baadhi yetu tunatumia tuu akili ya kiutu uzima kuujua ukweli wa the real and the truth cause of death ya mpendwa wetu, Swali ni kwa nini tulidanganywa?. What was the motive behind uongo ule, na ulikuwa na lengo la ku achieve nini?.

Kuna msemo usemeo, ukiwa muongo, usiwe msahaulifu!. Kuna uongo ukiusema, anahakikisha unaingia nao kaburini, mfano mzuri ni mama tuu ndie pekee ndiye ajuaye baba halisi wa mtoto, lakini kuna wababa wengi, wanaleo watoto ambao sio wao, ila wamama wengi, siri hiyo, huingia nayo kaburini!. Kwa maoni yangu, the real cause of death kwa JPM, should remain a top secret, sisi wananchi tuendelee kuamini kile tulichoelezwa, that means, that scene that reveals the secret cause of death ya JPM, kwenye hiyo movie, shouldn't have been there at all!

Rais wetu Mama Samia na yeye ni binadamu na sio malaika, hivyo anaweza kukosea, wasaidizi wa rais, msaidieni rais wetu.

P
 
Mungu ni chaka la kufichia mambo tu.

Kiuhalisia hayupo.

Ndiyo maana mpaka leo hakuna mtu anayeweza kukuthibitishia uwepo wa huyo Mungu.
Katika hilo sitakuunga mkono amini uaminivyo lakini Mungu yupo...inatosha.
 
1. Je, ni nani aliyeleta IDEA ya Royal Tour kwenye meza ya IKULU na ni nani aliyependekeza Rais wa nchi awe Tour Queen na kuzunguka na mwandishi wa habari kukamilisha zoezi hilo?...

Pamoja na misaada yao, mzungu hajawahi kuwa mtu mwema kwa black people.

The whole Royal Tour is a big TIME behind the scene na ni jukumu letu watanzania ku pay

something is wrong kwenye huu utawala, something is not okay kwenye huu utawala.

Natamani kuandika makala kuhusu Utawala wa Rais SSH unakopeleka nchi hii, tajiri wa maliasili, lakini najua Mods wataifuta.

Nakubaliana na wewe kwamba something is wrong kwenye huu utawala, something is not okay kwenye huu utawala[I/][B/]

Kama ulivyochambua kuna dalili za ombwe la uongozi kwenye utawala wa sasa. Maswali yako mengi ya kumwuliza Rais SSH, km:
1) Kupanda kwa bei ya vitu ni sababu ya UVIKO-19 na vita ya Urusi na Ukreni?
2) Kwa nini huduma katika ofisi za Serikali na Taasisi zake zenye kutoa huduma zimerejea kwenye "business as usual"?
3) Wahusika na waratibu wa safari za Rais nje ya nchi wana agenda gani, hadi kutumia utengenezaji wa filamu ya "Royal Tour"? Na kama siyo fedha ya Serikali iliyotumika waliochangia watarudishiwaje? Rais aweke wazi na hadhani orodha ya hao waliochangia na kiasi chao ili wajulikane.
4) Serikali imeandaa mikakati gani ya kuwawezesha wawekezaji wa ndani na hasa kwenye sekta isiyo rasmi?
5) Serikali iliweka tozo kwenye mawasiliano, ambayo inaingiza fedha nyingi, iweje iendelee kutembeza bakuri?
6) Serikali ilipata mkopo wa UVIKO-19, ambao kwa kiasi kikubwa unatumika kujenga zahanati na vituo vya afya, je, kuna mkakati gani wa kuviwezesha kutoa huduma stahiki?
 
Acha kulalamika ndugu, chukua jembe ukalime. CCM ni ile ile, usanii ndio falsafa yake. Nchi itatafunwa mpaka akili itukae.

Magufuli yeye alikuwa anafanya royal tour yake ya kienyeji, akizunguka nchi kwa misafara ya magari huku akilindwa na utitiri wa makomandoo wakiwa na bunduki, helkopta kadhaa zikirindima angani, akisimama njiani kutafuna mahindi ya kuchoma, kununua matunda, kunywa kahawa kijiweni, kuzawadiwa kuku na kugawa mabulungutu ya pesa huku Tv zikirusha live!

Mama anaupiga mwingi.
Kazi iindelee.
Wizi uendelee pia!
Wachache wenye uchu wa madaraka na mafisadi, walitumia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kumkashifu Magufuli, kama wewe. Sasa hao hao wanatumia njia hizo hizo kuzima SAUTI ya wengi ambao waliwekewa mazingira rafiki ya kujitafutia riziki km kitambulisho cha machinga, wakulima kusafirisha mazao yao bila bughuza na tozo, wachimba madini wadogo kutokusumbuliwa, nk
 
JF ni App kubwa sana Afrika na dunian ebu tuitumie vzr kuandika vtu vyenye maana
Kuna mataifa wanaitumia jamii forum kujua uwezo wetu watanzania wa kufikili na kuwaza
Sasa tutaonekana wabongo ni vichwa maji kumbe ni watu wachache tu
 
Katika hilo sitakuunga mkono amini uaminivyo lakini Mungu yupo...inatosha.

Yupo wapi ? Ili atusaidie kuweka mambo sawa kule Ukraine, Raia wasio na hatia wengi sana wanakufa
 
JF ni App kubwa sana Afrika na dunian ebu tuitumie vzr kuandika vtu vyenye maana
Kuna mataifa wanaitumia jamii forum kujua uwezo wetu watanzania wa kufikili na kuwaza
Sasa tutaonekana wabongo ni vichwa maji kumbe ni watu wachache tu

Sawa, ni kufikiri na sio kufikili, tuitumie vyema hii forum kujifunza
 
Uyo babu ni Nani kwenye hii nchi,

Kwanini aonekane kwenye muvi mwanzo mwisho, ? Tuli kosa mtu WA kumweka?

Nchi ya ajabu hii???

Shida ni viongozi wa kuridhi, wanachezea raslimali za nchi
 
Natamani kuandika makala kuhusu Utawala wa Rais SSH unakopeleka nchi hii, tajiri wa maliasili, lakini najua Mods wataifuta.

Nakubaliana na wewe kwamba something is wrong kwenye huu utawala, something is not okay kwenye huu utawala[I/][B/]

Kama ulivyochambua kuna dalili za ombwe la uongozi kwenye utawala wa sasa. Maswali yako mengi ya kumwuliza Rais SSH, km:
1) Kupanda kwa bei ya vitu ni sababu ya UVIKO-19 na vita ya Urusi na Ukreni?
2) Kwa nini huduma katika ofisi za Serikali na Taasisi zake zenye kutoa huduma zimerejea kwenye "business as usual"?
3) Wahusika na waratibu wa safari za Rais nje ya nchi wana agenda gani, hadi kutumia utengenezaji wa filamu ya "Royal Tour"? Na kama siyo fedha ya Serikali iliyotumika waliochangia watarudishiwaje? Rais aweke wazi na hadhani orodha ya hao waliochangia na kiasi chao ili wajulikane.
4) Serikali imeandaa mikakati gani ya kuwawezesha wawekezaji wa ndani na hasa kwenye sekta isiyo rasmi?
5) Serikali iliweka tozo kwenye mawasiliano, ambayo inaingiza fedha nyingi, iweje iendelee kutembeza bakuri?
6) Serikali ilipata mkopo wa UVIKO-19, ambao kwa kiasi kikubwa unatumika kujenga zahanati na vituo vya afya, je, kuna mkakati gani wa kuviwezesha kutoa huduma stahiki?
SALUTE

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
JF ni App kubwa sana Afrika na dunian ebu tuitumie vzr kuandika vtu vyenye maana
Kuna mataifa wanaitumia jamii forum kujua uwezo wetu watanzania wa kufikili na kuwaza
Sasa tutaonekana wabongo ni vichwa maji kumbe ni watu wachache tu
Nakazia

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Megalodon , kwenye hii hoja, you have a point. Aliyetangazia taifa kifo cha JPM ni Rais Mama Samia, Tangazo lile ndio the official version ya kutangazia dunia kuhusu msiba huo na the cause of death. Haiwezekani Mzungu atoke huko alikotoka, amseme vibaya JPM, amtungie uongo kuwa alikufa kwa Covid 19, mbele yako halafu wewe useme yes!.

Kifo ni kifo, na hakuna ubaya wowote Kwa mtu yoyote kufa kwa Covid 19, na wala sio ugonjwa wa aibu!, baada ya kuiona The Royal Tour, kuna baadhi yetu tunatumia tuu akili ya kiutu uzima kuujua ukweli wa the real and the truth cause of death ya mpendwa wetu, Swali ni kwa nini tulidanganywa?. What was the motive behind uongo ule, na ulikuwa na lengo la ku achieve nini?.

Kuna msemo usemeo, ukiwa muongo, usiwe msahaulifu!. Kuna uongo ukiusema, anahakikisha unaingia nao kaburini, mfano mzuri ni mama tuu ndie pekee ndiye ajuaye baba halisi wa mtoto, lakini kuna wababa wengi, wanaleo watoto ambao sio wao, ila wamama wengi, siri hiyo, huingia nayo kaburini!. Kwa maoni yangu, the real cause of death kwa JPM, should remain a top secret, sisi wananchi tuendelee kuamini kile tulichoelezwa, that means, that scene that reveals the secret cause of death ya JPM, kwenye hiyo movie, shouldn't have been there at all!

Rais wetu Mama Samia na yeye ni binadamu na sio malaika, hivyo anaweza kukosea, wasaidizi wa rais, msaidieni rais wetu.

P

Mkuu Mayalla, nakubaliana na yote uliyoandika, naomba kupinga Sugarcoat yako...... we cannot put lies in truth , I strongly disagree kuwa mama kapitiwa kama binadamu, I strongly disagree kuwa state House imepitiwa. Unless kuna shida kwenye broad understanding ya ENGLISH na interpretation ya kile kilichoongelewa.

Hiyo Documentary imepitia series za editorials , Na kikawaida kabla haijawa Out Officially... ni lazima wataalam wa state house waipitie na watoe approval kwa sababu aliyetumika ni rais , it has a lot of impact kwenye state security, It is not about samia, it is about the country. Samia will leave just as JPM left , but the country will remain , and has remained, and always will be

Nimeeleza hapo juu kuna kitu hakipo sawa with no sugarcoat kitendo cha kuacha MZUNGU afunguke kuhusu street words kuwa , JPM kuna uwezekano alikufa na COVID 19 , was a biggest failure ya samia, na kwa nchi zenye katiba thabiti, anatakiwa ku step down haraka sana .

Yule mzungu alitakiwa kusema kile kilichotangazwa na serikali kuwa JPM alikufa na matatizo ya moyo, hiyo ndiyo
Statement ya ikulu na sio hizo Blah Blah za mitandao na mitaani. It is a shame ile scene kuonekana kwenye Documentary ambayo ni living Document kizazi na kizazi, and the imperfection ya katiba yetu ndio imetuletea marais jamii ya Samia , JPM , JK ....

Nasema tena kama tungekuwa na bunge imara, kwa kauli ile, huyu mama ni wa kustep down immediately , Kuna nidhamu ya utumishi kwenye serikali....Ikulu ya sasa imevamiwa na wahuni

Kama kuna mtu anaamin tunaandika kwa chuki, basi muda ndio utakuwa rafiki kwetu.

Ila huyu Mama kwa aibu kwenye ile Royal Tour , we have no president and I am in a opinion of questioning the ability of our Army and state security, I am skeptical na abilities ya hivi vyombo.....

Akikaa mtu yoyote as head of state hata kama ni empty brain, wao wataenda nae kama alivyo au wataonesha power na responsibility zao.

Naomba kiongozi usiweke sugarcoat , Mama is a big scam , big time
 
Kwa maoni yangu, the real cause of death kwa JPM, should remain a top secret, sisi wananchi tuendelee kuamini kile tulichoelezwa, that means, that scene that reveals the secret cause of death ya JPM, kwenye hiyo movie, shouldn't have been there at all!
Hatukuwahi kuambiwa hata kama JPM alikuwa mgonjwa...bado unataka tufichwe mpaka chanzo cha kifo chake ?..

Swali ni kwa nini tulidanganywa?. What was the motive behind uongo ule, na ulikuwa na lengo la ku achieve nini?.
Hii nchi ni mali ya viongozi hata kama ukipinga, nyie raia mtaambiwa wanachotaka wakubwa mkijue.
 
1. Je, ni nani aliyeleta IDEA ya Royal Tour kwenye meza ya IKULU na ni nani aliyependekeza Rais wa nchi awe Tour Queen na kuzunguka na mwandishi wa habari kukamilisha zoezi hilo?

Kuna Wizara ya Utalii ambayo jukumu lake kubwa ni kutangaza vivutio vya nchi, kitendo cha Rais kuingilia hili jukumu, nini tafsir yake ?
A. Rais hana majukumu ya msingi?
B. Nchi imepoteza muelekeo
C. Hatuna ajenda na njia mojawapo ya kuruhusu upigaji wa fedha kwa maana process zima na matumizi yake ya fedha haupo clear

Nchi inamatatizo mengi sana yanayohitaji attention ya Rais , nchi kukaa bila Rais takriban wiki 2 nzima inaleta tafsiri gani kwenye Financial Management and security state ya nchi? Who leads the country behind the scene?

2. Rais kuwa Free na Kuingililika kirahisi na mwandishi wa habari na kundi lake na kuzunguka nae kama anazunguka na mtu wa kawaida inaleta tafsiri gani kwenye uimara na ulinzi wa nchi yetu?

Je kulikuwa na ulazima gani rais kuwa Tour Queen ? Mbona tunawatu wenye ushawishi Tanzania wangeweza kutumika,Rais angeweza kuonekana kwenye Tour kipande kidogo tu ikiwa ni sehemu ya kuweka baraka zake, je hili lililotokea ni tafsiri kuwa nchi imepoteza agenda za msingi?

Kwa namna ambavyo alikuwa akishikwa na kale kamwandishi kahabari, hii kama taifa inaleta tafsiri gani na heshima kwa taifa letu?

It was wrong idea kwa aliyependekeza rais kuwa Tour Queen , kuna kitu nyuma ya pazia hakipo sawa, let’s pay attention. It is not just a royal tour.

It was wrong idea kwa Amiri Jeshi Mkuu wa nchi kukamatana mkono na yule mzungu kwa style ile; hata kama sio romantic but kwa culture zetu za kitanzania , that is a sign of inferiority complexly to the president, Unless kama angekuwa ni husband wake.

Serikali ilishatangaza kifo cha JPM kilisababishwa na matatizo ya moyo aliyoishi nayo takribani kipindi chote cha uhai wake, kitendo cha mzungu ku elaborate ile claim kwamba JPM alikufa na COVID 19, ni matusi kwenye idara ya usalama wa taifa na ni matusi kwenye taasisi ya ikulu... such claim haikutakiwa kuwa ni sehemu ya mazungumzo ya Royal Tour ... its a shame.

Pamoja na misaada yao, mzungu hajawahi kuwa mtu mwema kwa black people.

The whole Royal Tour is a big TIME behind the scene na ni jukumu letu watanzania ku pay attention;

something is wrong kwenye huu utawala, something is not okay kwenye huu utawala.
Kila utawala mnasema something is wrong, kuanzia Nyerere something was wrong mpaka atakayekuja baada ya Samia mtaendeleza wimbo huo huo wa something is wrong.

Ni wimbo mnaozeeka mkiuimba.
 
Hatukuwahi kuambiwa hata kama JPM alikuwa mgonjwa...bado unataka tufichwe mpaka chanzo cha kifo chake ?..

Hii nchi ni mali ya viongozi hata kama ukipinga, nyie raia mtaambiwa wanachotaka wakubwa mkijue.
Mkuu chanzo cha kifo cha JPM ni afya yake, simple and clear. Alifanya mengi sana aliingilia kila sehemu na kwa hali ya kawaida tu asingeweza kutoka kote huko salama kiafya. Mengineyo ni conspiracy theories ambazo hatuna uwezo wa kuuweka hadharani ukweli wake.
 
Mkuu Mayalla, nakubaliana na yote uliyoandika, naomba kupinga Sugarcoat yako...... we cannot put lies in truth , I strongly disagree kuwa mama kapitiwa kama binadamu.

Naomba kiongozi usiweke sugarcoat , Mama is a big scam , big time
Mkuu Megalodon , sifanyi any sugar coating, the truth is, kuna tofauti kubwa ya intelligence kati ya Samia na JPM. JPM was very intelligent president, tatizo lake ni was a dictator (a benevolent one), interms of intelect Samia is not like JPM, hivyo anahitaji some very intelligent people from the deep state kumsaidia. Japo mwenyewe amesema her rolling eyes are not just rolls, yanaona sana!, it's not true!. Yangekukuwa ni kweli yanaona, then jambo kubwa, very serious and very sensitive, angeliona.

Siamini kama the deep state waliona previews na kutoa a go ahead ndio maana nikasema Mama anahitaji kusaidiwa.

Samia is not a big scam big time, wengi wamemjua baada ya kuwa rais, akina sisi tulimjua kabla na tukamzungumza.

Kanisome hapa Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!” na hapa "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza
na hapa Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila...
utakubaliana na mimi, Samia hivyo ndivyo alivyo, ni asili yake ni nature yake, anaweza, Ila asaidiwe, aweze zaidi.
P
 
Back
Top Bottom