Ninatafuta Business Partner

Machepele

JF-Expert Member
Jun 28, 2019
289
419
Wakuu salama.
Natafuta business partner/Investor awe na capital at least 5ml hadi 10ml.

Aina ya biashara: ni biashara ya butchery, mayai na maziwa
Eneo: ni Kahama na Mwanza

Kwa sasa biashara ina run under low capital, demand ni Kubwa kuliko supply yetu.

Additionally ikiongezeka hiyo 5-10Ml kwenye biashara Profit kwa siku inaweza kufika hadi 100,000- 200,000.

Karibu ambaye yupo interested PM
 
Umeshaanza au hapo ni unapiga Hesabu kwenye mmakaratasi? Risk ya hiyo Biashara ni zipi? Na vipi usalama wa pesa za mwekezaji?
 
Kwann nifanye kaz na nyie wakati naweza nikaweka mtaji na nikawa mshindani wako?
Mtaji wangu unakua na usalama kiasi gan? Na unakua wa kisheria?
 
Umeshaanza au hapo ni unapiga Hesabu kwenye mmakaratasi? Risk ya hiyo Biashara ni zipi? Na vipi usalama wa pesa za mwekezaji?
Nipo kwenye biashara tayari.
Ukiwa interested let's sit for discussion.

Ondoa wasiwasi juu ya Usalama wa pesa zako kila kitu tutakiweka kisheria legal kabisaa.

Asset kama eneo /kiwanja kwa ajili ya ufugaji na eneo la kunenepesa ng'ombe lipo tayari, usafiri (Pikipiki kurahisisha movement za ofisi), Butchery shops mitaa tofauti tayari, company's Bank account hivyo vyote hivyo ni kuonesha how serious am devoted to this business.

...
 
Back
Top Bottom