Kasu
JF-Expert Member
- May 3, 2012
- 382
- 282
uwezo wako wa kufikiri ndio umeishia hapo? backward reasoning.Kiukweli biashara ya kukupa faida hiyo labda ufanye sports betting tu usawa huu. Toa M1 anza kubeti kiakili pengine utafanikiwa zaidi. Maana ukijiroga kufungua biashara ya fremu tu haijalishi ni ya mtaji gani jiandae kisaikolojia kugawana faida na mamlaka ya mapato.
Utachezea mitama ya kutosha EFD,Kodi heavy na penalties za hapa na pale hadi akili ikae sawa. Hapo bado huja stabilize sokoni ni hatari sana.
Fuga kukuHabari wanajamvi, nimebahatika kupata milioni 15, naombeni wazo la biashara itakayonipa atleast 2M per Month. Maoni yote yanakaribishwa.
Asanteni
Mimi Mkuu nikushauri tu kama una eneo japo la heka Moja hebu tafuta japo ngombe zako za maziwa japo 3 ambazo zitakupa an average y lita 60 kwa siku.. hapo hapo kazini kwako unapeleka hayo maziwa na kuyauza 2000 tshs per litre.. hio ni karibia 120,000 kwa siku.. kwa mwezi piga hesabu mwenywe.. than u continue evolving kidg kigd.. mwisho wa mwaka ngombe zina zaa.. unakua nazo 6...na hapo hapo unaendelea kujenga ujuzi.. Muhimu Usimamizi and Put ur Heart into it..Habari wanajamvi, nimebahatika kupata milioni 15, naombeni wazo la biashara itakayonipa atleast 2M per Month. Maoni yote yanakaribishwa.
Asanteni
Hahahah...namzingua tu mtoa mada aisee, we jamii forums ni mgeni au???U
uwezo wako wa kufikiri ndio umeishia hapo? backward reasoning.
Forex ndo nini,nahitaji kujua.Forex anza na usd 1000 kila wiki utalala na 500usd
Huu ushauri wako nimeupenda, actually ndio biashara nataka niifanye nikipata mtaji freshi. Kulima ni risky zaidi kuliko biashara ya ulanguzi.Mkuu kama utaweza kanunue mazao katavi sehemu moja inaitwa bonde la mpimbwe katika vijiji vya kibaoni kwao na mh.pinda,usevya,tupindo,mbede,mwamapuli,chamalendi,ukingwa na vijiji vyote vya bonde hilo,nenda kanunue mahindi kwa gunia tsh 40 mpaka 50 hiyo ni bei ya kununulia,ukifika tafuta dalali wa kukununulia mzigo kutoka vijijini utamlipa kila gunia sh.1000,usafiri wa gunia kutoka kijijini hadi maeneo ambayo gari inaweza kupita haizidi sh 2000_3000,kipindi unakusanya mzigo wako unapanga chumba cha kuishi hapo hapo kijijini ikibidi unapanga na chumba cha kuhifadhia mazao yako ukiwa na dalali watatu ndani ya wiki mbili umekusanya mzigo wa kutosha na magari ni mengi sana yanayobeba mazao kutoka huko katavi kuleta mikoa mingine,gharama ya gunia moja kulisafirisha kulitoa mfano majimoto au mwamapuli kijijini kulileta shy,mwanza au bariadi ni tsh 10000 ikijumuisha nauli,kupakiza na kushusha gunia kwahyo ukiwa na gunia 100 utazisafirisha kwa gharama ya milioni 1,000,000 ukiyafikisha mazao mkoani unayaweka stoo kwanza kusibili bei iwe nzuri kuanzia miezi ya kumi na mbili,wa kwanza na wa pili ndipo unasukuma mzigo wako ukiwa makini faida utatengeneza si chini ya sh 40 elfu kwa gunia hapo tumetoa gharama zote za usafiri,dalali,mfuko,stoo ya muda,watu wa kuyasafisha na kuyawekea dawa mahindi ili yasipeche kwa urahisi mf una gunia 100 utatengeneza faida ya 4milioni ndani ya miezi kuanzia huu wa nane hadi wa pili mwakani ambpo mzigo wako utauza tena ukiwa umetulia kwako, if upo seriazi andaa ml.5 ya kuanzia biashara hiyo,pia kuna mazao kama karanga yanabei mbaya sana kule gunia debe sita sh.elfu 30 ni wewe kuchagua maindi au karanga.ukiwa tayari nitafute nikuunganishe pale pale kijijini kwa mawakala wanao nunua mazao na sehemu ya kuhifadhia natumia simu nimechoka kuandika ukihitaji nitakufafanulia vizuri zaidi,mkuu kazi kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
TENA USIJARIBU, ILA USIIFANYE HII KABISA..Pia niliwaza kukopesha watu kwa riba, ila Enzi hizi nafikiri rejesho litakua ugomvi
hahaha labda akasubiri mwingine afe ndo jamaa alikuwa anamaanishaKama ni pesa ya urithi???
Mawazo finyu kabisa haya,,mpe uahauri sio kupiga vijembe kama mwanamke, kwani kuomba ushauri ni vibaya,au hujui hata rais anawashauri wake ,daaah mijitu bhana roho mbaya kwelkwel ,usikute hata kwako mchoyo wewekaongeze elimu, kama una degree kachukue MBA.
kitendo cha ww kutojua biashara ya kufanya, ni kiashiria kuwa elimu yako inahitaji kuongezwa kidogo.
Kubet kiakili ni kwa namna gani mkuu?Kiukweli biashara ya kukupa faida hiyo labda ufanye sports betting tu usawa huu. Toa M1 anza kubeti kiakili pengine utafanikiwa zaidi. Maana ukijiroga kufungua biashara ya fremu tu haijalishi ni ya mtaji gani jiandae kisaikolojia kugawana faida na mamlaka ya mapato.
Utachezea mitama ya kutosha EFD,Kodi heavy na penalties za hapa na pale hadi akili ikae sawa. Hapo bado huja stabilize sokoni ni hatari sana.
Pia unaweza kwenda machimbo ya wachimbaji wadogo wadogo Na kununua dhahabu gramu gramu kisha kauze nairobi
DJ sepetu