Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,033
- 173,722
Eeh hapo ndipo msala ulipo, na gari iliobeba mali kupata ajaliRisk ya hii ni kuvamiwa na majambazi.
Eeh hapo ndipo msala ulipo, na gari iliobeba mali kupata ajaliRisk ya hii ni kuvamiwa na majambazi.
Nilishawazia sana juu ya hii biashara lakini watu wananikatisha tamaa sana. Kidogo wewe umenipa moyo..!Njoo Geita huku unanunua dhahabu,tenga million 7.5 nunua kama gram100 hivi kwa bei ya porin utapata yenye asilimia nzuri tu ukiifikisha town (ambapo si mbali) au ukapeleka nairobi tayari kwa kimzigo hicho tu utapiga kama 1.5m hivi na mzigo huo utakusanya hata kwa siku moja kutokana na style yako ya ununuz.. njoo ujaribu mzee.
Sent using Jamii Forums mobile app
biashara ya dhahabu ni ngum sana kama utajihusisha na uchimbaji wake au kununua mawe yake ili ukaprocess mwenyewe (hapo ndo shughuli ipo,inahitaji kujitoa sana) ..unatakachokifanya wewe unafika kwa mfano geita maeneo ya machimbo panakua na mwalo (sehem yakuoshea mchanga wa dhahabu na kupatikana dhahabu) kisha unazungumza na wahusika wa hapo kwajili yakusubiri wachimbaji wadogo wanaposaga tu unanunua mali yao.. cha muhimu hapo ni kua na mzani wako mdogo tu nadhani unauzwa 200k.Nilishawazia sana juu ya hii biashara lakini watu wananikatisha tamaa sana. Kidogo wewe umenipa moyo..!
Hebu nipe procedure na sehemu nitakayopata dhahabu kwa bei ya pori. Ik willing to do this.
Sent using Jamii Forums mobile app
This is the good advice nimependaMkuu, kama wewe ni Mkristo (hauna tatizo na suala la Riba)...tafuta kikoba kilichosajiliwa omba kuwa mdhamini wao kwa makubaliano ya kupatiwa 10% au zaidi kwa kila mwezi. Hakikisha unapoingia katika makubaliano hayo unakuwa na mwanasheria wako ili msainishane mkataba na wateja wako. Ni biashara isiyo na stress kabisa. "Ukitaka kufanikiwa fanya biashara na masikini", hii ndio principle ya matajiri wote duniani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, nenda taratibu. Sijui Geita gani anayoizungumzia huyu ndugu mwananchi. Siku hizi hakuna utitiri wa ma konta....!?Nilishawazia sana juu ya hii biashara lakini watu wananikatisha tamaa sana. Kidogo wewe umenipa moyo..!
Hebu nipe procedure na sehemu nitakayopata dhahabu kwa bei ya pori ili nibebe begi langu nije mkwanja ninao. Im willing to do this.
Sent using Jamii Forums mobile app
Makonta ndo kitu gani tena!? Duh!Mkuu, nenda taratibu. Sijui Geita gani anayoizungumzia huyu ndugu mwananchi. Siku hizi hakuna utitiri wa ma konta....!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kapewa je?Kwanini usiendelee kuwekeza zaidi kwenye hiyo kazi iliyokupa 15M ?
Mweh kununua kiwanja ni kuzika pesa mbombo ngafu na wakati thamani ya kiwanja ina appreciate kila siku maybe useme sija plan kununua kiwanja kwa sasa.Nipo Kigamboni, ni za kwangu. Niliwaza kununua viwanja..nikaona nitakua nazika pesa tu
Msimtie hofu na uoga, ukijipanga vizuri hata kwa mtaji wa milion 3 unaweza kuingiza zaidi ya milion 2 kwa mwezi. Cha msingi kuumiza kichwa Kupata wazo la biashara na kufanya tafiti kabla ya kuanza hiyo biashara.!
!
Biashara ngumu sana hiyo. Hata kama utaikopesha kwa 10% bado utatengeneza kama 1.5m tu kwa mwezi kama faida ghafi. Kimsingi ni ngumu kutengeneza faida ya 2m kwa mwezi kwa mtaji wa 15m. Kwa maana hapo unazungumzia 24m kwa mwaka.
Mkuu hiyo bei ndiyo inayofahamika kwa wafanyabiashara wote wa mazao kutokea mpanda wanasafirisha mazao kila gunia lina ghalimu elfu kumi ikiwemo na ushuru na expenses zote za gunia hadi linafika sehemu nilizozitaja hapo juuKumbuka ukibeba magunia kwenye fuso linalozidi tani 1, ushuru unakuhusu.
Kuna biashara flani hivi kila baada ya mwezi na siku 4 unaingiza faida ml 3.Habari wanajamvi, nimebahatika kupata milioni 15, naombeni wazo la biashara itakayonipa atleast 2M per Month. Maoni yote yanakaribishwa.
Asanteni
Msimtie hofu na uoga, ukijipanga vizuri hata kwa mtaji wa milion 3 unaweza kuingiza zaidi ya milion 2 kwa mwezi. Cha msingi kuumiza kichwa Kupata wazo la biashara na kufanya tafiti kabla ya kuanza hiyo biashara.
Sent using Jamii Forums mobile app