karembo Senior Member Joined Nov 2, 2012 Posts 129 Reaction score 44 Nov 27, 2012 #1 Hope mko pouwa wana jf. Mimi nina kama 2million na ninataka kufanya biashara lakini sijui nataka exactly biashara ipi. Help me with the business idea.
Hope mko pouwa wana jf. Mimi nina kama 2million na ninataka kufanya biashara lakini sijui nataka exactly biashara ipi. Help me with the business idea.
M Malila JF-Expert Member Joined Dec 22, 2007 Posts 5,374 Reaction score 5,129 Nov 27, 2012 #2 karembo said: Hope mko pouwa wana jf. Mimi nina kama 2million na ninataka kufanya biashara lakini sijui nataka exactly biashara ipi. Help me with the business idea. Click to expand... Kwa kuwa huna wazo/idea yyt basi nikushauri pitia nyuzi za nyuma hapa jukwaani, ukiipata inayofanana na ww rudi hapa tena ili tuichambue kwa mapana na marefu.
karembo said: Hope mko pouwa wana jf. Mimi nina kama 2million na ninataka kufanya biashara lakini sijui nataka exactly biashara ipi. Help me with the business idea. Click to expand... Kwa kuwa huna wazo/idea yyt basi nikushauri pitia nyuzi za nyuma hapa jukwaani, ukiipata inayofanana na ww rudi hapa tena ili tuichambue kwa mapana na marefu.