Na hapo ndipo serikali ilipokoseaNaomba serikali upige marufuku uchinjaji kwa mda ili kuweka mabo sawa!.
Na mambo ya dini yasiingiliwe na serikali yenyewe itumie sheria tu maana haina dini.
Msikiti wachomwa moto na mchungaji achinjwa.
Kwa taarifa nilizozipata mida hii, mpaka sasa watu wawili wameshauwawa........
Mkuu ingekuwa nimeelewa nisingeulizaSasa ujaelewa nini hapo, mbona sentensi iko wazi sana!
Kama ambavyo wanatuachia nguruwe wetu, basi watuachie na nyama tuliyochinja wenyewe... Uzuri haijafanywa siri, wameambiwa mapema kuwa bucha hii nyama yake kachinja mkristu, hivyo ni juu yao kuicha nyama hiyo kama ambavyo wanatuachi sisi tuingie makanisani na wao waingie msikitini. Sioni ugumu.. ingekuwa wamelishwa bila kujuwa, labda wangekuwa sahihi.....Hii imenistus sana, mm sioni ajabu watu kujichinjia mifugo yao kwani shida nn, anayetaka kula aliyochinja yeye basi afanye hivyo na asiyetaka naye achinje wake ndio usawa huo sio mtu anamlazimisha amchinjie yeye, MTU UTAKA APENDACHOI
Hii ni breaking news ya Wapo Radio ya muda huu, inasema kwamba waislamu wamevunja bucha ambayo iliokuw imehifadhiw nyama iliyochinjw na wakristo na kuharibu mali kadhaa ikiwemo pikipik! kisa? ni baada ya wakristo kuchinja wanyama kadhaa!