Busara zisizochuja

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,870
155,831
564896_431773810193296_1402663726_n.jpg
 
Fikiria udhaifu wa mwafrika.mwenyezi mungua anakupa kila kitu ardhi nzuri, maji mengi ,maziwa ,mito ,bahari,miti/misitu,wanyama pori na wafugwao ,milima ,mabonde,madini,mafuta ,gesi,samaki na bado badala yakitumie kukuza uchumi uaviuza /gawa kwa watu wageni,baadaye unawafuata na kuombaomba misaada,na wakikupa wewe unawapa rasilimali ambazo umeshindwa kuzimiliki.hivi kweli tutafika
 
mimi siamini kua watu weusi hatuna uwezo wa kujiongoza..! ila ni kwamba hatuwataki watu wenye uwezo wa kuongoza..! tunapenda kukumbatia wezi na hatutaki kua makini kwenye mambo makini na kuweka watu ambao tunajua na tuna uhakika na uadilifu wao kwenye mambo muhimu..! tuna kumbatia wezi na kuwafanya wawe marafiki eti... eti kwasababu wataficha maovu yetu(viongozi)...! hili ni jinamizi na ni kirusi kitakachokula nchi yetu milele zote kama hatutakuja kua macho na kutoa hawa wanaokula mali za uma..! sio kwamba hatuwajui watu waadilifu..! wanajulikana ila hawapendwi..! thanks.
 
Waovu wamekuwa wengi kuliko waadilifu; kila mwadillifu akisimamia haki, hii mijizi inaona ni hatari kwa mfumo wao wa wivi!
 
The man was a visionary; remember he said this in 1958 even before the country got its flag independence!!

Thanks for noticing the year,Halafu kuna wapuuzi ambao leo wanadiriki kumtoa kasoro huyu mwalimu wakati hawamkaribii hata robo yake.He was a gift which will never happen to appear again in our life time,may him rest in Eternal Peace..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom