Bus la delux limepinduka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bus la delux limepinduka

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mulhat Mpunga, Oct 25, 2011.

 1. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,481
  Likes Received: 12,754
  Trophy Points: 280
  Basi la delux limepinduka na kuteketea KWA moto muda huu abiria wote kasoro abiria nane tu, wamepoteza maisha.lilikuwa na abiria 58,NA LILIKUWA LINAENDA DODOMA,limepata ajali misugusugu maeneo ya kibaha pwani.rip marehemu wote, source times fm
   
 2. Mla Mbivu

  Mla Mbivu JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 221
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  basi la deluxe kutoka dsm to dom limeteketea kabisa kwa moto, watu wengi sana wanahofiwa kufa moto.
   
 3. Igabiro

  Igabiro JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 242
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  source plz
   
 4. Igabiro

  Igabiro JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 242
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  poleni kwa wote
   
 5. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  shabib au dewlux? Mbona mnatuchanganya?
   
 6. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  R.I.P wote na poleni kwa ndg na jamaa za marehem...Dah Hivi hapo kibaha huwa kuna nini jamani? inabidi pakafanyiwe maombi jamani
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  kunaweza kuwa na chunusi....umewahi kumsikia chunusi....?
   
 8. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,481
  Likes Received: 12,754
  Trophy Points: 280
  Ajali na misiba isikie kwa mwenzako,laiti kama unandugu alikuwa kwenye safari hiyo duh mungu wape nguvu katika kipindi hichi kigumu
   
 9. Mr.Toyo

  Mr.Toyo JF-Expert Member

  #9
  Oct 25, 2011
  Joined: Feb 9, 2007
  Messages: 433
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  I am extremely shocked and sorry to hear about this..It certainly is a great loss...
   
 10. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #10
  Oct 25, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hivi ni vitu ambavyo tunavitumia kuficha uzembe wetu.
  RIP marehemu wote
   
 11. MANI

  MANI Platinum Member

  #11
  Oct 25, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280
  Abiria zaidi ya arobaini wamekufa? Mungu wape faraja wafiwa!
   
 12. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #12
  Oct 25, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Daah..inatisha..hii ni tofauti na shabib au ndio hilo hilo linajulikana kama delux?

   
 13. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #13
  Oct 25, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hapo kazi ya Mungu haina makosa
   
 14. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #14
  Oct 25, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  Salaam Wanajamvi na watanzania kwa ujumla!

  Niko kwenye basi kutoka Arusha kwenda Dar, na mwendo kidogo tu kufika kibaha maili moja tumekuta basi la shabiby (Dodoma - Dar route) limepinduka likashika moto na kuungua lote.

  Nasikia ni watu 3 tu ndo wametoka angalau wakipumua. Kwa maneno mengi roho zote zimeangamia na hata hao watatu hatujui mwisho wao huko hospitalini


  Kwa wale wenye uzoefu wa kusafiri la basi la shabib dom-dar watakubaliana na mimi kuwa huwa linapakia watu wengi na pia linaendeshwa kasi sana. And so you can imagine idadi ya watu walopoteza maisha.

  Kwa hakika basi lote limeungua moto na kikosi cha fire & rescue cha manispaa ya kibaha imejitahidi kuzima moto but were probably too late and not enough.

  Chanzo cha ajali hakikuweza kupatikana na wala picha sijaweza kupiga coz hatukuweza kushuka ndani ya basi letu. Mwenye taarifa zaidi atujuze

  Mungu tunusuru na ajali hizi za kila siku ee Mola wetu.

  Uwajalie mapumziko na amani ya milele wote hao waliotangulia mbele za haki. Amen
   
 15. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #15
  Oct 25, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  nasisitiza ni basi la shabiby na sio delux
   
 16. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #16
  Oct 25, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,303
  Likes Received: 968
  Trophy Points: 280
  poleni wale wote waliopoteza ndugu zao.
   
 17. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #17
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Yutong??
   
 18. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #18
  Oct 25, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,043
  Likes Received: 3,072
  Trophy Points: 280
  Nasema hatuwezi kuendelea kuishi kwa kupeana pole ilohali jamaa zetu wanateketea kwa ajari za kutengenezwa,pole ili iweje?ili iweje?inatupa ahueni gani?tokeni na pole zenu
   
 19. M

  Mwana wa Kitaa Member

  #19
  Oct 25, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mungu awalaze pema peponi, AMINA...
   
 20. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #20
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,481
  Likes Received: 12,754
  Trophy Points: 280
  nimemsikia aliyepiga simu times radio akisema delux yupo eneo la tukio,all in all ipo ajali ya kutisha pale
   
Loading...