Mkuu kabla ya kujenga hizo fly over, ungewaelimisha madereva wakiona Alana ya RAIWAY CROSSING wapunguze mwendo whatever the circumstances, iwe jua iwe mvua, iwe Kuna treni iwe Kuna baiskeli.Pole sana kwa ndugu na jamaa wote waliopoteza wapendwa wao kwenye hiyo ajali.
Mungu awarehemu marehemu wote.
RISK ASSESSMENT AND CONTROL MEASURES.
Ningekuwa na mamlaka ningehakikisha kuanzia leo Tanzania haipati tena ajali za magari kugongana na train kama hivyo.
Ningetoa order kwamba katika kila sehemu yenye makutano ya railway na barabara za magari kuwe na flyover.
Full stop.
Uwezo huo upo, pesa zipo, Tanzania sio masikini.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Pili matajiri waajiri responsible drivers waliopitia chuo Cha taifa Cha usafirishaji, madereva wasio Malaya, wasio vuta bangi Wala walevi.
KUNA SIKU NILIPANDA TAYASSAR KWENDA TANGA. KWA KWELI NILIFURAHI SANA. DEREVA HANA PAPARA, HAPENDI KUONGELESHWA NA KONDA. ANASEMA HIZO STORI UTANIAMBIA TUKIFIKA TANGA. BIG UP TAYASSAR BUS COMPANI NA NDUGU ZENU RAHALEO.