Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
- Thread starter
- #41
Kuna ile inaitwaje sijui... Mwanameka......
I really like the lyrics za ule wimbo na whole story.
Sijui mtunzi aliwaza nini miaka hiyo. Maana wakina mwanameka wamejaa saana siku hizi.
Dj Kasie niwekee. Nitafutie na mrembo kipusa tucheze
Burundika na mwanameka hiyoo
Twende mbele sendeemaa rudii nyumaa sendeemaa kushoto kulia sendeemaa sendeemaa sendeemaa. .........
Twende pamoja hapoo hapoo hapoo mpaka chinii mpaka chinii.....
Huo wa kipusa ulimaanisha wa Ali Kiba.... nimeutafuta kwenye santuri zangu sijauona.