Burundika na Mahaba ya Kasie....

Burundika na Mahaba ya Kasie....

Uzi mtamu sana huu,,nyimbo za zaman bana zina ladha flan ya kipekee,,I wish would have been there those times..
 
Uzi mtamu sana huu,,nyimbo za zaman bana zina ladha flan ya kipekee,,I wish would have been there those times..

You are real a young blood with old soul....

I see it in your words.
 
Hahahahaaa this is kidnapping looh....

Partner in the dancing floor that's what I mean. The weekend is on.....

Will never kidnap you while wearing boxers only, usihofu.....mie ni mpole sana na hobby yangu ni hugs za nguvu huku tuki dance your favorite songs on the dancing floor or bed. Nimelala jana usiku bila kufunga mlango kukusubiri na ukanigandisha, bahati nzuri sijakabwa na vibaka. Je, leo nikusubiri tena?
 
Duuh hapo kwenye hug hapoo..... tutagandana aiseeh .....

Usisubiri mie ntakuja kwa kustukiza. ....

Kasie Matata.
 
Kuna ile inaitwaje sijui... Mwanameka......

I really like the lyrics za ule wimbo na whole story.

Sijui mtunzi aliwaza nini miaka hiyo. Maana wakina mwanameka wamejaa saana siku hizi.

Dj Kasie niwekee. Nitafutie na mrembo kipusa tucheze
 
Back
Top Bottom