Burundi, Tanzania skip Kigali meeting

Burundi, Tanzania skip Kigali meeting

Siwezi kusahau kamwe madhara tuliyopata baada ya kuvunjwa EAC mwaka 1977 tuliokuwepo wadogo wakati huo shule ya msingi tuliona dhahiri jinsi TZ ilivyoumizwa na Kenya,na baadae vita ya Kagera mwaka 1978 nawashangaa sana hawa viongozi wetu wanaotaka kurudia makosa tena kuingiza nchi kama Rwanda ni hatari kwa jumuiya hii,matokeo yake yanaanza kuonekana jambo la muhimu ni kuusitisha kwanza ili kuwe na mdahalo mpana kuhusu ushiriki wetu ktk Jumuiya yasije yakatokea tena ya mwaka 77!!!!,MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Lkn ukiangalia uhalisia bado watz tumeolewa na wakenya(sorry to say this). Hakuna investment yoyote ya kujivubia ambayo wayz wamefanya kenya. Uchumi wao kenya kwa kiasi kikubwa unagrow kutegemea raslimari za tz. Hata tusipotaka eac je tutajiondoaje na uchumi wetu kumilikiwa na kenya na wakenya. Sisi km tumerogwa vile, kila mfanyabiashara kariakoo anakwambia bidhaa zake ananunia kenya. Why?
 
Watanzania ni soko la bidhaa za kenya, kuanzia kalamu hadi labourers so this community thing is more beneficial to kenya than Tz.Tuna watanzania wengi wanafanya kazi nchi za SADC ambako ni mbali kulinganisha na Kenya but what we see here is kenyans secure permanent jobs in TZ and Tanzanians gets non in Kenya.
 
Interesting, but then a handful of minerals to S.Africa can outvalue all business to EAC. Weka data ya product by product hapa. Hiyo pesa times nayo...
 
mzee mbona unazunguka na kurudi palepale bila hata kunua na wanje waone,unapozungumzia udandiaji wetu wa hiyo train y EAC ni kwa style ipi?sio sisi ambao tunalilia hata muungano wa Africa nzima..!!??au ulikuwa na maanagana labda sikukuelewa vyema
Unapozungumzia EAC ya sasa uweke akilini EAC iliyovunjika 1977 pamoja na sababu zake ikiwemo unyang'au. EAC ya sasa (political) Wakenya wanalenga kunufaika na ardhi murua ya Tanzania pamoja soko la bidhaa zao, Uganda Museveni antamani sana awe rais wa kwanza wa EAC federation, Kagame alishawahi kusema apewe bandari ya Dar aendeshe kwa mwone atakavyotajirika. Tanzania tuna mkakati gani mahsusi kutekeleza kama federation ya EAC itakuja kesho? Uliza yeyote hata Sita mwenyewe au mkuu wa kaya. Watakuambia mambo ya umoja wa afrika kama walivyokuwa wanafikiria miaka ya sitini. Tz haina agenda mahususi kuhusu federation ya EAC hivi sasa. Tunahitaji kujipanga kabla. Unity for the saka of unity ni udandiaji wa lori kwenye bonet
 
siku tutakayojitoa kwenye hii community ntaenda shonesha shati kwa bendera ya Tanzania.na kuimba wimbo wa taifa wiki mfululizo kila siku asubui na jioni.

mkuu mi ntakunywa chupa mbili za wine ya dompo kama Charles Njonjo alivyofanya mwaka 1977 . easy africa for what?
 
Unapozungumzia EAC ya sasa uweke akilini EAC iliyovunjika 1977 pamoja na sababu zake ikiwemo unyang'au. EAC ya sasa (political) Wakenya wanalenga kunufaika na ardhi murua ya Tanzania pamoja soko la bidhaa zao, Uganda Museveni antamani sana awe rais wa kwanza wa EAC federation, Kagame alishawahi kusema apewe bandari ya Dar aendeshe kwa mwone atakavyotajirika. Tanzania tuna mkakati gani mahsusi kutekeleza kama federation ya EAC itakuja kesho? Uliza yeyote hata Sita mwenyewe au mkuu wa kaya. Watakuambia mambo ya umoja wa afrika kama walivyokuwa wanafikiria miaka ya sitini. Tz haina agenda mahususi kuhusu federation ya EAC hivi sasa. Tunahitaji kujipanga kabla. Unity for the saka of unity ni udandiaji wa lori kwenye bonet

Tanzania ina mkakati wa kujitoa, na tungejitoa siku nyingi sana sema tukikuwa tunasubili wajenge HQ arusha sasa yake majengo yatakuwa chuo kikuu cha ma tour guide. furuuuuu sitopuuuu
 
The absence of Tanzania and Burundi at a heads of Immigration, Interpol and Tourism Boards of Uganda, Rwanda and Kenya meeting in Kigali has raised worries over the underlying challenges for the East African Community.

The meeting, aimed at studying the possibility of rolling-out a single tourist visa and the use of a single identity card among partner states, was a follow up to the June recommendations by heads of state of Rwanda, Kenya and Uganda to speed up the implementation of an EAC single tourist visa and use of one identity card within the three republics.

The officials downplayed the two countries’ absence even as fears grew that the use of the single visa and one identity card cannot be effective unless recognised by all states.

Visa fees The African Development Bank (AfDB), in its latest economic review of the continent, said that Africa is one of the regions in the world with the highest visa requirements, blocking trade both among countries within the continent and globally.

While Burundi is expected to join its counterparts, perhaps at a later date, experts have interpreted Dar es Salaam’s coldness to the matter as potential signal its “long wish to break away” from the EAC in favour of the Southern African Development Community. (Read: EAC pushes back single visa plan)
Tanzania has, in past, opposed most of the protocols signed by the member states, the latest being the move by partner states to scrap work permit fees to facilitate free movement of labour, goods and services within the region.

While Tanzania and Burundi’s absence from these debates is being interpreted differently, Kenya, Uganda and Rwanda are also sharply divided on whether the fee imposed on visa should be scrapped completely.

Rwanda proposes the removal of visa fees while Uganda and Kenya want the fees be retained as a source of revenue.

“The visa fee is not an issue to tourists and should be maintained by member states,” said Jane Waikenda, the Director of Immigration Services in Kenya.

She says Kenya had tried to remove visa fees in the past but the gesture never facilitated tourism as the number of tourists actually went down instead.

“We intend to convince Rwanda about the importance of retaining the visa fees,” says Ms Waikenda.

SOURCE: Burundi, Tanzania skip Kigali meeting - News - www.theeastafrican.co.ke
Wacha wachezeshwe rumba na huyo dikteta tz inafaa ikae kando na viongozi wenye hila mbaya kama pk.
 
Hv tukiachana na propaganda za vitabun,kwasasa Tz tutanufaika na EAC!?
 
Koba,

..we r exporting more to SADC than EAC.

..SADC ni kubwa zaidi in terms of population, and area.

..zaidi, kwa upande wa resources, SADC kuna resources nyingi zaidi.

soma hapa:Tanzania Exports More To SADC Than To EAC » Commodities » News « Pesatimes Business News Portal

cc: ukweliusemwe, Jasusi, RUTAJUMBUKIRWA, rushasha, Mchambuzi, Mdondoaji, FaizaFoxy, Bukyanagandi, Ab-Titchaz, Kabaridi

Woi!! ata nimekuhurumia, Yes you are exporting Gold and Diamonds and maybe Tanzanites - to South Africans who end up benefiting from everything you own. The writer goes on to boast of COMESA i guess he is not aware that TZ left COMESA some long gone years ago.

CC Descartes please petition your president to rush the exit we've been waiting for too long and cant wait longer
 
Last edited by a moderator:

ukweliusemwe: I echo you, in this regard,the petition is underway and it is there then you would realize why the lion as the "king of the forest" plays a great role for an ecosystem.The East Africa minus Tanzania is in other words same as Barcelona without Messi....
 
Last edited by a moderator:
Woi!! ata nimekuhurumia, Yes you are exporting Gold and Diamonds and maybe Tanzanites - to South Africans who end up benefiting from everything you own. The writer goes on to boast of COMESA i guess he is not aware that TZ left COMESA some long gone years ago.

CC Descartes please petition your president to rush the exit we've been waiting for too long and cant wait longer

ukweliusemwe
: I echo you. In this regard,the petition is underway and it is there then you would realize why the lion as the "king of the forest" plays a great role for an ecosystem-take this in economic perspectives.

The East African community minus Tanzania is in other words same as Barcelona without Lionel Messi....
 
Woi!! ata nimekuhurumia, Yes you are exporting Gold and Diamonds and maybe Tanzanites - to South Africans who end up benefiting from everything you own. The writer goes on to boast of COMESA i guess he is not aware that TZ left COMESA some long gone years ago.

CC Descartes please petition your president to rush the exit we've been waiting for too long and cant wait longer
ukweliusemwe,

..hata mimi nakuhurumia.

..I dont think unajua how much Kenya is exporting to Tz.

..Do you really think it is wise for Kenya to push Tanzania out of EAC??

cc Descartes
 
Last edited by a moderator:
we are the father of this community lets them wondering until the sun drop,Tanzania made them to live peace

Kwa kiingereza chako hapo juu!!! Ndo maana hamuitaki EAC. No one can understand what you are trying to say here. Better you use Kiswahili
 
Kwa kiingereza chako hapo juu!!! Ndo maana hamuitaki EAC. No one can understand what you are trying to say here. Better you use Kiswahili

hahahahahaa mkuu apo amejikaza kabisa tena kwa msaada wa kamusi
 
umeonaeeeh.....kama chako vile ulivyo jikaza mpaka ushuzi kutoka

mkuu wewe ndio umeandika iko kiingereza ,mim nmeingiaje apa,nilichosema ni kuwa wewe umejikaza sana kukiandika na inaonekana umetumia saa kama 3 kuunganisha hizo sentensi kwa msaada wa kamusi,na mkuu murutongore alichonifuraisha ni kusema kwa kiingereza chako ndio maana auitak jumuiya ya afrika mashariki
 
kumbe tulikuwa wote wakati najikaza kukiandika,any way baba wewe muingereza???
 
Back
Top Bottom