mokala1989
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 2,236
- 730
Naomba wenye uelewa wa hii eac wanieleze jinsi tanzania inavyonufaika na huu umoja wa eac
kusambaa kwa malaya wa kitusi wanaofanya biashara ya kujiuza maeneo mbalimbali ya nchi hii , magenge ya mauaji ya kitusi mfano waliomuua yule profesa wetu wa sheria pale udsm na matusi na kejeli za dikteta wa rwanda kagame kwa raisi wetu