Burundi rejects African Union peacekeepers as 'invasion force'

Halafu huwa najiuliza sana kwa nn huyu jamaa mnyarwanda anayejiita Mchambawima1 anashupalia mno issue za Burundi mtandaoni? Kila ukiingia Jf international unakuta mapost posts nyingi na zote ni kuhusu Burundi...je ni kweli kuwa ni propagandist wa Pk?
 
acha uzushi! mimi ni raia na nimwananchi mwema kama wengine wote uwajuwao, siwezi nikakaa kimya huku wasio na hatia wakiangamizwa wakati ukweli unajulikana nani anayewaangamiza! remember INTERAHAMWE=IMBONERAKURE... mambo ya wanadunia, sanasana wa Africa kujifanya 'hayanihusu' yalipelekea ndugu zangu wasio wachache kuuwawa na Interahamwe bila msaada hata wa kutoka kwa nchi jirani... hayo yametufunza mengi! tumekula kiapo kutoyaona yakijirudia, kwa hiyo siitaji mshahara kusema ukweli au kumwangalia Nkurumbi jichoni na kumwambia KACHEMSHA!
 
Sidhani kama uko sahihi...there is a motive behind...juzi waziri wa tanzania alikuwa Burundi na kasema hali ya Burundi siyo kama inavyotangazwa na media hasa watu kama nyie...you are doing too much guy!!!....kwa mfano wale waliovamia makambi ya jeshi ulitaka wafanyweje??? Wapewe zawadi zaidi ya kuuwawa??? Rwandans kwa kweli mmezidi jinsi mnavyolishadadia suala la Burundi mpaka hata sisi ambao ni neutral sasa tunahisi kuna kitu cha ziada mnakitengeneza against Nkurunziza....waachieni warundi wamalize mambo yao.....huwezi ukavamia kambi ya jeshi ukiwa na silaha ukategemea wakuchekee...lazima upewe zawadi inayokufaa...nayo ni kuuawa tu and nothing more!!!!
 
Staff wa UN wamesema waiwazi kuwa wakimbizi ambao wako huko kwenu mko mnawatrain na kuwadeploy Burundi ili washambulie...sasa hapo sisi watz unadhani tutashindwa kuamini kuwa mnahusika na mgogoro wa Burundi?? Kuna faida gani kuendelea kuuana ati kwa sababu nkurunziza kawa rais?? Mi naamini alipochaguliwa mngekaa kimya mkaacha aendelee kutawala haya yasingetokea...
 
kwisha habari yako! hauwezi ukajidiliana na mimi kama hauko civilized enough... lazima ujuwe unachokiongea kabla ya kuchonga, haya soma hii kwanza halafu urudi hapa Third Geneva Convention - Wikipedia, the free encyclopedia ... tena ngoja nikuitie ndugu zako, mpeane tano... @jMali, @vyuma, @Bukyanagandi
 
acha uzushi! mimi ni raia na nimwananchi mwema kama wengine wote uwajuwao, siwezi nikakaa kimya huku wasio na hatia wakiangamizwa wakati ukweli unajulikana nani anayewaangamiza! remember INTERAHAMWE=IMBONERAKURE... mambo ya wanadunia, sanasana wa Africa kujifanya 'hayanihusu' yalipelekea ndugu zangu wasio wachache kuuwawa na Interahamwe bila msaada hata wa kutoka kwa nchi jirani... hayo yametufunza mengi! tumekula kiapo kutoyaona yakijirudia, kwa hiyo siitaji mshahara kusema ukweli au kumwangalia Nkurumbi jichoni na kumwambia KACHEMSHA!

Mkuu jana wakati naangalia NBS tv ya uganda iliripotiwa kua wakimbizi 22000 wengi wao wakiwa watusi kutoka burundi wameenda uganda badala ya kwenda tanzania ambapo ni karibu zaidi. Kuna mkimbizi mmoja alihojiwa akasema kua serikali ya burundi inaua raia wake wenye asiri ya kitusi watusi. Je hii vita si inaweza kua vita yenye mlengo wa kikabila?
 
Nimefuatilia mijadala yako na akina Vyuma, jmali na.wengine nikajifunza kitu hasa baada ya Dr Mahiga, waziri wetu ww foreign affairs kutoa ripoti yake kuhusu Burundi...sasa sijui nimekwisha kivipi Mchambawima1??
 
Staff wa UN wamesema waiwazi kuwa wakimbizi ambao wako huko kwenu mko mnawatrain na kuwadeploy Burundi ili washambulie...sasa hapo sisi watz unadhani tutashindwa kuamini kuwa mnahusika na mgogoro wa Burundi?? Kuna faida gani kuendelea kuuana ati kwa sababu nkurunziza kawa rais?? Mi naamini alipochaguliwa mngekaa kimya mkaacha aendelee kutawala haya yasingetokea...
kusema sio tatizo! hata wewe mbona unasema mengi, kwa hiyo tukuamini kwa sababu unasema sana? mi ntaamini endapo watatuonyesha hiyo sehemu wanayofanyia mafunzo, majina ya walimu wao, nk... unaishi dunia gani wewe unatishika na jina UN? kwani haujuwi walivyo mmbambikia Saddam Hussein? hebu acha wazimu!
 
acha uzushi! mimi ni raia na nimwananchi mwema kama wengine wote uwajuwao, siwezi nikakaa kimya huku wasio na hatia wakiangamizwa wakati ukweli unajulikana nani anayewaangamiza! remember INTERAHAMWE=IMBONERAKURE... mambo ya wanadunia, sanasana wa Africa kujifanya 'hayanihusu' yalipelekea ndugu zangu wasio wachache kuuwawa na Interahamwe bila msaada hata wa kutoka kwa nchi jirani... hayo yametufunza mengi! tumekula kiapo kutoyaona yakijirudia, kwa hiyo siitaji mshahara kusema ukweli au kumwangalia Nkurumbi jichoni na kumwambia KACHEMSHA!
Banyamulenge utawajua tu
 
Mkuu jana wakati naangalia NBS tv ya uganda iliripotiwa kua wakimbizi 22000 wengi wao wakiwa watusi kutoka burundi wameenda uganda badala ya kwenda tanzania ambapo ni karibu zaidi. Kuna mkimbizi mmoja alihojiwa akasema kua serikali ya burundi inaua raia wake wenye asiri ya kitusi watusi. Je hii vita si inaweza kua vita yenye mlengo wa kikabila?
hilo la kuuwa raia wake tushalizowea tena wahutu kwa watutsi lakini siku zinavyoenda mbele inaonekana damu tamu zaidi kwake ni ya watutsi! mwanzo ulikuwa third termers Vs anti-third termers lakini kajitahidi kuwahadaa warundi wengi wanavijiji na wasio na elimu kwamba adui yao eti ni mtusi... upo hapo? yani michezo ileile ya Interahamwe 94, kwa jamii ambayo wengi wao hawajaelimika, nafikiri unajuwa kitachofwata... kadri siku zinapoenda mbele na hali inazidi kuwa mbaya haswa jeshini! jeshi lililokuwa linasifiwa kuungana hivi Nkurunziza kesha ligawa na hivi wanajeshi wakitutsi wanachomoka mmoja mmoja
 
Halafu huwa najiuliza sana kwa nn huyu jamaa mnyarwanda anayejiita Mchambawima1 anashupalia mno issue za Burundi mtandaoni? Kila ukiingia Jf international unakuta mapost posts nyingi na zote ni kuhusu Burundi...je ni kweli kuwa ni propagandist wa Pk?
Mkuu umeona kwa jicho la pili km nilivyoona mimi,hii issue ina mengi sana nyuma yake!
 
Kweli kabisa mkuu...Dr Mahiga, Waziri wa mambo ya nje wa Tanzania alichosema baada ya kutoka Burundi ni tofauti kabisa na wwnavyosema hawa wanyarwanda wa Jf.....propagandists wa kagame wamezidi humu jukwaani...huko Rwanda wanatoa mafunzo kwa waasi wa kwenda kusababisha unrest Burundi na huku mitandaoni wanachafua zaidi. Mbaya zaidi wanavamia makambi ya jeshi, wakipigwa wanaleta vilio vyao vya kipuuzi motandaooni eti tuwaonee huruma....bullshit!!!
 
Km utakumbuka mkuu wakati mk23 wanachezea kichapo kule congo wanyarwanda wa jf walikuwa wakilalamika sana ikiwa wale waliokuwa wakipigwa ni waasi wa serikali ya congo,hawa jamaa ni wajuzi wa propaganda za kuubadilisha uongo uonekane ukweli!
 
Halafu huwa najiuliza sana kwa nn huyu jamaa mnyarwanda anayejiita Mchambawima1 anashupalia mno issue za Burundi mtandaoni? Kila ukiingia Jf international unakuta mapost posts nyingi na zote ni kuhusu Burundi...je ni kweli kuwa ni propagandist wa Pk?
Asee mi mwenyewe nilikua najiuliza mkuu huyu jamaa mrundi anaitwa vyuma naona ameshupalia mambo ya Rwanda, jf international yote ni yy na Rwanda, huyu sijui atakua ni interahamwe au ni propagandist wa Nkuruzinza?bado sijaelewa vzr
 
Utajua tu in due time...kama.ni propagandist wa nkurunziza or otherwise lakini mchambawima1 is becoming monotonous!!! Anakuwa kama.msemaji wa waasi wa Burundi...
 
Halafu huwa najiuliza sana kwa nn huyu jamaa mnyarwanda anayejiita Mchambawima1 anashupalia mno issue za Burundi mtandaoni? Kila ukiingia Jf international unakuta mapost posts nyingi na zote ni kuhusu Burundi...je ni kweli kuwa ni propagandist wa Pk?
Ni kweli kabisa, mchambawima1 ndie mpiga propaganda mkuu wa paka. Pia anajihusisha na siasa za Burundi sana kwa sababu yeye na watutsi wenzake wakiongozwa na paka wanataka Burundi iongozwe na mtutsi mwenzao ili iwe rahisi kufanya ujambazi wao dhidi ya wahitu.
 
kwisha habari yako! hauwezi ukajidiliana na mimi kama hauko civilized enough... lazima ujuwe unachokiongea kabla ya kuchonga, haya soma hii kwanza halafu urudi hapa Third Geneva Convention - Wikipedia, the free encyclopedia ... tena ngoja nikuitie ndugu zako, mpeane tano... @jMali, @vyuma, @Bukyanagandi
Huna lolote mchambawima1, ukabila wako wa kitutsi utakutokea kwenye matundu yooooooote uliyonayo mwilini. Ninaamini kabisa, kwa Nkurunziza, uhima wenu utanoa maana warundi wamejipanga kumtetea na kumlinda dhidi ya uovu mnaoupanga kumfanyia.
 
Back
Top Bottom