heri ya mwaka mpya
@vyuma naona umehararisha kabisa eti mimi ni mpiga propaganda wa Kagame? natamani ningejuwa ni wapi Kagame anawalipa watu kama mimi kwani hapa JF ku debate na watu kama nyinyi ni mtelemko saaana! nyi ni kelele mtindo mmoja and ZERO facts! kila ninalouliza sijawahi kujibiwa lakini kelele haziishi... hivi kwanini wewe ukabila unatakufuna hivyo? ndugu yako
@jMali kapata kazi mpya nini, mbona simuoni hapa tena? trust me, you are nothing compared to him, we are still trying to cure those contaminated by him as you can see, the job is not yet done!
I defend those in need and not necessarily "Tutsis" as you put it! ubinadamu kwanza! kuliko uhutu au ututsi, kwanza wacha nikukumbushe, kule kwenu Burundi wakati mnaongozwa na "watutsi" ilisaidia nini kwa wanyarwanda "watutsi" waliokuwa wamefukuzwa kwao? mliwatenga, mkawapatia sehemu ya kuishi iliyo kuwa imewashinda kabisa(Mushiha) jaribu kukumbuka ni wangapi waliopoteza maisha kutokana na mzingira waliokuwa wa kiishi, haya mashuleni je? 50% kwa mrundi kufauru na 80% kwa Mnyarwanda kufauru! chuo kikuu kuna faculties wanyarwanda walikuwa hawakubaliwi kuzisoma, haya turudi kwenye ajira, ilikuwaje? wote waliishia kuwa walimu, turudi kwenye vita ya ukombozi wa Rwanda, ndugu zako walifanyaje? vijana wetu walikuwa wanatoroka usikuusiku kusudi wasikamatwe na majeshi ya Burundi yaliyokuwa yakiwakamata na kuwakabidhi kwa habyarimana.... ya kusema ni mengi lakini ustaarabu hauturuhusu tulipize visasi especially in the times of need when your guy Nkurunziza is killing innocent people!