Burundi rejects African Union peacekeepers as 'invasion force'

Burundi rejects African Union peacekeepers as 'invasion force'

Mkuu jamaa hawa ni mahili sana katika masuala ya propaganda,uwezi kuamini fedha zinazo tumiwa na Serikali ya Rwanda kurubuni waandishi wa habari na magazeti ya ndani na nje, si hilo tu wana mpaka ma lobbyists kwenye Bunge/Serikali ya Merikani!!

Kuna wakati fulani Balozi wa Merikani kwenye Umoja wa Mataifa alikuwa ametekwa akili na Balozi wa Rwanda kwenye Umoja wa Mataifa - wanawake hao wawili walikuwa vituko kweli kweli,yaani Balozi wa Merikani akinyanyuka kunzungumzia masuala ya Rwanda na DRC ungefikiri amepewa Govt handout za Serikali ya Rwanda kuitetea - alikuwa amejisahau kabisa kwamba yeye anawakilisha Merikani na sio Rwanda, sijui Obama alimshitukia alimuondoa fasta UN na kumuhamishia kwingine!

Mkuu hawa jamaa wa kitutsi mbona mambo yao yanafahamika? Yaani ukifuatilia kwa makini na hasa ukiwa great thinker uzandiki wao upo peupe na lengo lao kubwa ni watutsi watawale africa nzima. Wewe shangaa, Burundi hawajaomba msaada wowote wa AU au UN la ajabu majitu yanajipendekeza kupeleka majeshi eti kulinda amani, amani ipi ? Burundi ni shwari kabisa, Bujumbura tu ndio kuna fujofujo na sio Bujumbura nzima. Nkurunziza anapendwa sana na raia wake asilimia kubwa ya wanaompinga ni watusi tena wa baadhi ya mitaa ya Bujumbura.
 
Unapoanza kuwatukana watutsi kama kitu kimoja hapo ndipo nanza kukuona chizi tuu bin interahamwe,extremist idiots wapo pande zote,na uchizi wako unakuambia hilo jeshi la AU ni la Kagame na leo umetoa kali ya kufunga mwaka eti watutsi wanataka kutawala Africa nzima...officially wewe ni mwehu 100%
 
Acha matusi wewe pimbi ! Unatakiwa kujibu hoja sio kuleta matusi. Chizi ni wewe na rais wako paka mnaopenda kuona africa haina amani. Kuna uchizi kuzidi huo wenu wa kuvamia nchi huru ya Burundi na kusababisha ukosefu wa usalama Bujumbura. Uzuri tu ni kwamba cndd-fdd wapo imara na wanawashughulikia ipasavyo. Mkuu, unaijua hima empire ? Au unaropokaropoka tu? Ukweli tutauweka wazi h?ta kama ninyi ni mabingwa wa propaganda. Huwezi kushindana na ukweli kamwe ndio maana badala ya kujibu hoja unatukana.
 
you mean MAPROBU? fellow Africans of course!
Nkurunziza failed to lead, he denies that he is killing his people yet people are killed each and everyday! so let us say he is not the one killing them... then what about protecting them? he should just accept the failure and welcome his fellow Africans to help!
one among others is that Burundian contingent in Somalia will be replaced by Ethiopians... a poor country of Burundi will be loosing 4 million $ a month and will be a big blow to a yet collapsing regime! is that smart?
 
Aisee Koba, hadi nimecheka! I am sure tout are talking without reasoning. Remember, Burundi is a sovereign country, no any country has an authority to send troups in Burundi under the umbrella of AU. I could agree if that country is unable to fight its enemies. Sasa Burundi wameweza kuwachapa wafuasi wa kagame in a minute hadi mchambawima1, koba, gentamycine decided to shift th? battle in JF. Please, let rundians d?cide their own of leaving as well as solving their problems. To say Burundi ni nchi masikini sana,hizo ni fikra za kikagamekagame ! Rwanda ilikuwa inakuwa kwa kasi kwa sababu mpwa wenu hyporite kanambe(Joseph Kabila) wa drc anawasaidia kuiibia drc. Anaiba madini, mbao na kila kitu ili kuboresha nchi yake ya Rwanda.
yale yale... sasa Rwanda kukua kwa kasi yamekujaje hapa? we kiboko! kwa hiyo Nkurunziza kafunga kazi na warundi hawata ongeza kuokota miili ya watoto, wanawake, wazee na vijana tena? basi no need for MAPROBU... unachekesha sana!
 
Have you forgotten that it is Buyoya with his extremists hima who killed president Melchior Ndadaye by using the tutsi soldiers who were his guides? Let him trust whoever he want!
OK! but he transferred power to them, right? so what is your opinion on this as well...
CWmk_ebUsAIip5F.jpg:large
 
What about reports written by Rwandan refugees, in foreign countries, we read reports from them too, or maybe them together with whites are just a bunch of crazy jealous guys inventing story.
I am not stupid! again, to me it doesn't matter who writes it... unlike you, material evidence matters to me a lot than just essays
 
Umesema kweli kabisa mkuu! Hivi karibuni nilikuwa Burundi, ukweli vurugu zipo Bujumbura tu, tena baadhi ya mitaa na sio Burundi nzima au Bujumbura nzima? Why in Bujumbura? It is because kagame anataka kumuua nkurunziza ili watutsi wenzake ama Buyoya, Hussein Radjabu au Alexis Sinduhije waweze kuwa rais wa Burundi ili kusimika hima empire ukanda wote wa afrika. Lakini pia kuna hili, upo ushahidi wa wazi kabisa kagame alitaka kumtumia nkurunziza amdhuru rais mstaafu kikwete wa Tanzania ili kutimiza neno lake la "i will hit you on th? right time at the right place". Nkurunziza alikataa kushiriki ujinga huo ndio maana paka anamchukia sana nkurunziza. Na alitaka kumtumia nkurunziza kwa sababu yeye na kikwete zinaiva sana. Baada ya kushindwa kwa hit yake hiyo ndio akawashawishi uhuru Kenyatta na muhima mwenzie museveni waitenge Tanzanie kwenye eac wakaanzasha th? willing coalition, hayo yalikuwa mambo ya kagame kumtenga kikwete baada ya kushindwa kumuhit!
oops! haya hebu tuambie huko kwenye machafuko ulikuwa umeenda kufanya nini? uliingia ukatoka bila matatizo? hasira ulizo nazo naanza kushikwa na wasiwasi kwani wanyarwanda kule hatukatizi! tokea tugundue uwepo wa Interahamwe Burundi ndio ulikuwa mwisho wetu wa kukanyaga kule... sasa wewe kulikoni, ulikuwa umeenda kikazi?
hayo mambo ya ku hit nshakukataza hadi ulete ushahidi hapa... sio blabla tu
 
Unapoanza kuwatukana watutsi kama kitu kimoja hapo ndipo nanza kukuona chizi tuu bin interahamwe,extremist idiots wapo pande zote,na uchizi wako unakuambia hilo jeshi la AU ni la Kagame na leo umetoa kali ya kufunga mwaka eti watutsi wanataka kutawala Africa nzima...officially wewe ni mwehu 100%
achana nao ma extremist wasio kubali kubadilika... hebu msikilize mzee Mandela(RIP) kuanzia dakika ya 2:10 kwa maneno yake mwenyewe ndio utajuwa Burundi inaongozwa na watu gani...
https://www.youtube.com/watch?v=EajLRcZ83pU
 
yale yale... sasa Rwanda kukua kwa kasi yamekujaje hapa? we kiboko! kwa hiyo Nkurunziza kafunga kazi na warundi hawata ongeza kuokota miili ya watoto, wanawake, wazee na vijana tena? basi no need for MAPROBU... unachekesha sana!

Ya Rwanda kukua kwa kasi yamekuja baada ya koba kusema kwamba Burundi ni nchi masikini ukilinganisha na Rwanda ndio maana nikamwambia kuwa Rwanda imekuwa ilivyo sasa kwa ukibaka wa paka. Nani asiyeijua CNDP ya Laurent Nkundabatware? Nani asiyeijua m23 ya canal Makenga? Wewe humjui Bosco Ntaganda? Nani asiyejua kuwa hao wote ni wanyarwanda wa kitutsi ? Nani asiyejua kuwa vikundi vyote hivyo vinafadhiriwa na rwanda ili kuiba mbao, madini na meno ya tembo na wanyama ili Rwanda isonge mbele ? Umesahau kuwa mzalendo wa Congo Laurent Kabila aliwatimua wanajeshi wa Rwanda na Uganda baada ya kuchomeka mirija kwenye maliasili za Congo, ndio kwa kushirikiana na mnyarwanda Joseph Kanambe Kabange Hyporite mkamuua Laurent Kabila ili muibe vizuri ? Leo msianze kujigamba eti Rwanda is a fast moving country economically since ninyi ni majizi ya rasilimali za nchi za wenzenu na kudharau wenzenu.
 
Mkuu hawa jamaa wa kitutsi mbona mambo yao yanafahamika? Yaani ukifuatilia kwa makini na hasa ukiwa great thinker uzandiki wao upo peupe na lengo lao kubwa ni watutsi watawale africa nzima. Wewe shangaa, Burundi hawajaomba msaada wowote wa AU au UN la ajabu majitu yanajipendekeza kupeleka majeshi eti kulinda amani, amani ipi ? Burundi ni shwari kabisa, Bujumbura tu ndio kuna fujofujo na sio Bujumbura nzima. Nkurunziza anapendwa sana na raia wake asilimia kubwa ya wanaompinga ni watusi tena wa baadhi ya mitaa ya Bujumbura.
wewe uextremist cha mtoto... unakomalia watutsi tu wa hapa jirani, viongozi wako wao wamefika mbali wanataka kueneza ukabila Africa nzima! hivi washafika Burkinafaso, hapo sasa...
CWmk_ebUsAIip5F.jpg:large
 
Ya Rwanda kukua kwa kasi yamekuja baada ya koba kusema kwamba Burundi ni nchi masikini ukilinganisha na Rwanda ndio maana nikamwambia kuwa Rwanda imekuwa ilivyo sasa kwa ukibaka wa paka. Nani asiyeijua CNDP ya Laurent Nkundabatware? Nani asiyeijua m23 ya canal Makenga? Wewe humjui Bosco Ntaganda? Nani asiyejua kuwa hao wote ni wanyarwanda wa kitutsi ? Nani asiyejua kuwa vikundi vyote hivyo vinafadhiriwa na rwanda ili kuiba mbao, madini na meno ya tembo na wanyama ili Rwanda isonge mbele ? Umesahau kuwa mzalendo wa Congo Laurent Kabila aliwatimua wanajeshi wa Rwanda na Uganda baada ya kuchomeka mirija kwenye maliasili za Congo, ndio kwa kushirikiana na mnyarwanda Joseph Kanambe Kabange Hyporite mkamuua Laurent Kabila ili muibe vizuri ? Leo msianze kujigamba eti Rwanda is a fast moving country economically since ninyi ni majizi ya rasilimali za nchi za wenzenu na kudharau wenzenu.
hao unaowataja ni wa Congoman kiasili, na walikuwepo pale miaka yote tangu mababu na mababu lakini baada ya Mobutu kukosana na Rwanda akaamuwa awatimue... wacongoman wenyewe ndio walijiloga na usisingizie Rwanda, wacha wavune walichokipanda! umemsikia mzee Mandela(RIP) lakini? u extremist wenu aliuona alfajiri na mapema... leo mnamlaumu Kagame?
zingatia sana maneno yake kuanzia dakika 2:10
 
Mahakama inamsubiri paka, arukeruke sarakasi zoooote za kujilimbikiza madarakani lakini siku moja tu atadakwa kwa mende akajibu mashitaka ya mauaji ya kimbari. No paka no genocide !

Pumba tupu, interahamwe oyeee endeleeni kuchinjana mpk kieleweke
 
Troops will be deployed no matter what,that is the AU stand
 
Mkuu hawa jamaa wa kitutsi mbona mambo yao yanafahamika? Yaani ukifuatilia kwa makini na hasa ukiwa great thinker uzandiki wao upo peupe na lengo lao kubwa ni watutsi watawale africa nzima. Wewe shangaa, Burundi hawajaomba msaada wowote wa AU au UN la ajabu majitu yanajipendekeza kupeleka majeshi eti kulinda amani, amani ipi ? Burundi ni shwari kabisa, Bujumbura tu ndio kuna fujofujo na sio Bujumbura nzima. Nkurunziza anapendwa sana na raia wake asilimia kubwa ya wanaompinga ni watusi tena wa baadhi ya mitaa ya Bujumbura.

AU inaleta jeshi lake huko early January,kama anahamu ya kuongoza akaongoze mkewe
 
Wanyawarwanda mnahangaika sana na Burundi, waacheni warundi wasuluhishe mambo yao siyo kuendelea kuwavuruga
 
Duh, interahamwe oyee tena? We kiboko!
mh! kumbe bado upo? sasa unasemaje kuhusu mzee Mandela(RIP) hajuwi anachokisema au? mauwaji ya kijinga yanajirudia, uongozi usio na vision ni balaa... ah, Asante Tata Mandela(RIP) naona ma extremist wote wamekaa midomo wazi... mnafikili hatuwajuwi mlivyo? kalagabaho...
 
Mchambawima1 labda umemtafsiri vinginevyo Mzee Mandela. Hapo sijamsikia akizungumzia cndd-fdd zaidi amesema kuna mauaji Burundi ya kipuuzi ambapo wanauwawa watu wema wanaume,wanawake kwa watoto. Kama unazungumzia cndd-fdd kipindi wako porini, walikuwa wanapigania haki yao baada ya Buyoya kumuua Melchior Ndadaye rais halali aliyechaguliwa kidemokrasia kabisa. Historia inaonesha hamjawahi kuridhia kuongozwa na wahutu, angalia, Rwanda mlimpata Pasteur Bizimungu,PAKA akamfanyia vitimbi weee mpaka muhutu wa watu akaamua kung'atuka.Bado paka hakuridhika akamtia jela miaka kumi na tano,aliwakisea nini ? Haya, Burundi wakamchagua muhutu Melchiol Ndadaye hamkumkawiza, mkamuua kikatili ndio hapo wahutu wakaamua kuunda FNL na CNDD-FDD kupambana na wadhalimu Buyoya na kibaraka wa watutsi Fran?ais Ngeze. Leo tena mnaanza chokochoko Burundi eti nkurunziza ni mbaya, kwa kuwa ni muhutu ? Hebu niambie ni lini mlimlaani Buyoya na Bikomagu wake kwa mauaji ya rais Nfadaye au wahutu? Waacheni warundi waamue maisha wayapendayo.
 
Back
Top Bottom