Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,227
Hoya bilananiye!happy new year @Bukyanagandi haujapatia lakini umeeleweka! sij
uwi ni lugha gani lakini inataka kufanana na yetu "IBYO MVUGA URABIZI" URUMVA? @Koba happy new year my friend! naona zinaiva na huyu jamaa, basi naomba umkumbushie kuwa anajibu maswali yangu, siyo kuzuga alafu namwona upande wa pili akipumbazana na Mrundi @vyuma
Kwanza HERI ya mwaka MPYA mwami Ntare pMchambawima1
Mkuu Mchambawima1 mbona masuala ya Rwanda na Burundi yanachanganya sana,nimesoma ulicho andika kuhusu Burundi chini ya Nkuruzinza hivi Watutsi walikuwa wanabaguliwa kwa kiasi hicho kweli!! Mambo yenyewe kama ndiyo yalivyo basi makabila haya mawili hayawezi kukaa chini yakaelewana hata siku moja - kila kabila lina issues zake, na ukichunguza kiundani madai mengine yako justified kabisa. Sasa nini kiwe suluhisho la kudumu kuhusu makabila haya mawili save BATWA, binafsi naona/penekeza yatengwe - Watutsi wa Rwanda,Congo DRC,Uganda na Tanzania wapewe nchi ya Rwanda; Wahutu na Batwa wa Burundi,Rwanda,Congo DRC na Tanzania wapewe Burundi.happy new year @Bukyanagandi haujapatia lakini umeeleweka! sijuwi ni lugha gani lakini inataka kufanana na yetu "IBYO MVUGA URABIZI" URUMVA? @Koba happy new year my friend! naona zinaiva na huyu jamaa, basi naomba umkumbushie kuwa anajibu maswali yangu, siyo kuzuga alafu namwona upande wa pili akipumbazana na Mrundi @vyuma
Ku accomodate 4 expected population explosion basi sehemu ndogo ya mashariki mwa DRC wapewe Rwanda na Burundi hilo likitekelezwa na UN hatutasikia tena masuala ya ugomvi husio isha baina ya makabila hayo mawili.Urumva mwami Ntare Mchambawima wa tandatu.