Burundi rejects African Union peacekeepers as 'invasion force'

Burundi rejects African Union peacekeepers as 'invasion force'

Acha matusi wewe pimbi ! Unatakiwa kujibu hoja sio kuleta matusi. Chizi ni wewe na rais wako paka mnaopenda kuona africa haina amani. Kuna uchizi kuzidi huo wenu wa kuvamia nchi huru ya Burundi na kusababisha ukosefu wa usalama Bujumbura. Uzuri tu ni kwamba cndd-fdd wapo imara na wanawashughulikia ipasavyo. Mkuu, unaijua hima empire ? Au unaropokaropoka tu? Ukweli tutauweka wazi h?ta kama ninyi ni mabingwa wa propaganda. Huwezi kushindana na ukweli kamwe ndio maana badala ya kujibu hoja unatukana.

Vita ni yenu na acha kumsingizia Kagame,na akili yako ya Hima empire ni muendelezo wa uchizi wako tuu,
AU wanakuja vipi hapo?
 
oops! haya hebu tuambie huko kwenye machafuko ulikuwa umeenda kufanya nini? uliingia ukatoka bila matatizo? hasira ulizo nazo naanza kushikwa na wasiwasi kwani wanyarwanda kule hatukatizi! tokea tugundue uwepo wa Interahamwe Burundi ndio ulikuwa mwisho wetu wa kukanyaga kule... sasa wewe kulikoni, ulikuwa umeenda kikazi?
hayo mambo ya ku hit nshakukataza hadi ulete ushahidi hapa... sio blabla tu

Burundi hakuna machafuko ndugu yangu, Burundi kuna wahuni wanaodistabilise amani ya wananchi wa Bujumbura tu tena sio Bujumbura yote ni kwenye mitaa baadhi ya watutsi ndio wanaofanya fujo. Nimeenda sehemu mbalimbali, nimefika hadi vijiji vya ndani kabisa vya wilaya ya rumonge, hakuna tatizo lolote. Wananchi wa mikoani na wilayani wanaendelea na shughuli zao za kilimo na biashara kama kawaida. Bujumbura nako ni shwari baada ya jeshi kuwadhibiti sindumuja kila kitu kipo vizuri. Nilienda salama nikakaa kule wiki mbili na nikarudi salama. Vita au vurugu mnayoisema ninyi ipo JF tu, Burundi amani imetawala.
 
kabla haujaanza kutufunga kamba labda ungeanza kwa kutuambia kilichokupeleka, labda ingesaidia kidogo kujuwa kinacho kudatisha! tena utuambie na jinsi IMBONERAKURE walivyofanikiwa kuwabana wananchi wa huko vijijini, nasikia hata jeshi limewaachia mamlaka yote?
 
Mchambawima1 labda umemtafsiri vinginevyo Mzee Mandela. Hapo sijamsikia akizungumzia cndd-fdd zaidi amesema kuna mauaji Burundi ya kipuuzi ambapo wanauwawa watu wema wanaume,wanawake kwa watoto. Kama unazungumzia cndd-fdd kipindi wako porini, walikuwa wanapigania haki yao baada ya Buyoya kumuua Melchior Ndadaye rais halali aliyechaguliwa kidemokrasia kabisa. Historia inaonesha hamjawahi kuridhia kuongozwa na wahutu, angalia, Rwanda mlimpata Pasteur Bizimungu,PAKA akamfanyia vitimbi weee mpaka muhutu wa watu akaamua kung'atuka.Bado paka hakuridhika akamtia jela miaka kumi na tano,aliwakisea nini ? Haya, Burundi wakamchagua muhutu Melchiol Ndadaye hamkumkawiza, mkamuua kikatili ndio hapo wahutu wakaamua kuunda FNL na CNDD-FDD kupambana na wadhalimu Buyoya na kibaraka wa watutsi Fran?ais Ngeze. Leo tena mnaanza chokochoko Burundi eti nkurunziza ni mbaya, kwa kuwa ni muhutu ? Hebu niambie ni lini mlimlaani Buyoya na Bikomagu wake kwa mauaji ya rais Nfadaye au wahutu? Waacheni warundi waamue maisha wayapendayo.
lol! vyuma kizungu shida nini? let me kindly repeat it for you... "they are not really targeting the army and military installation, they are killing innocent people" so who was fighting the that time? vyuma u extremist wako utakufanya uonekane mpumbavu bure! mzee Mandela alikuwa keshawashtukia kwamba ni watu wasio na vision na leo tunayashuhudia... kweli ukubwa dawa!
 
We spoke out against what was happening in Burundi. We advised that the Barundi deal with the situation themselves - Kagame
 
President Kagame: Barundi expecting solution to come from elsewhere is what continues to make the situation worse.
 
Kagame : Rwanda will NOT contribute troops to Burundi peacekeeping, How do you support someone who doesn't want any help?
 
Kagame: there 72,000 Burundi refugees in camps & several other 1000s scattered in the cities as they had friends, families & money to rent, if any Burundi refugees try to cause problems in their country while in Rwanda, they'll be dealt with - incl. locking them away
 
kabla haujaanza kutufunga kamba labda ungeanza kwa kutuambia kilichokupeleka, labda ingesaidia kidogo kujuwa kinacho kudatisha! tena utuambie na jinsi IMBONERAKURE walivyofanikiwa kuwabana wananchi wa huko vijijini, nasikia hata jeshi limewaachia mamlaka yote?

Nilikwenda kibiashara huko, na Mungu akijaalia uhai tarehe 27 january nitakuwa Kigali Rwanda kibiashara pia. Nilifika mpaka vijijini kwa sababu mwenyeji wangu alinitembeza na kunionesha mazingira jinsi yalivyo.Nilizungumza na wenyeji huko wakanithibitishia amani ipo tele. H?ta Bujumbura amani imejaa isipokuwa ukifungua mitandao ya kijamii ndio utakuta kina mchambawima1 wametupia picha za photoshop ambazo uhalisia wake ni mashaka matupu. Hayo ya imbonerakule, binafsi sikuyaona,maadam Magufuli ametuma ujumbe maalum Burundi kuchunguza kinachoendelea, tutapata majibu. Hayo mengine mnayoyaeneza ni ya kwenu na ni uzushi mtupu.
 
lol! vyuma kizungu shida nini? let me kindly repeat it for you... "they are not really targeting the army and military installation, they are killing innocent people" so who was fighting the that time? vyuma u extremist wako utakufanya uonekane mpumbavu bure! mzee Mandela alikuwa keshawashtukia kwamba ni watu wasio na vision na leo tunayashuhudia... kweli ukubwa dawa!

Kiingereza ninakijua vizuri ndugu yangu, tatizo lako wewe unatafsiri unavyojua na unavyotaka wewe. H?ta darasani,kila mwanafunzi anaelewa kwa mwelekeo wake.Hebu niambie, kwa nini tusitafsiri maneno ya Mzee Mandela na kinachoendelea leo Burundi ? Pengine aliyaona mapema kwamba iwapo wahutu wataongoza nchi iwe ya Rwanda au Burundi watazuka sindumuja kuua watu hovyo kama inavyotokea sasa Burundi.H?ta Rwanda akiongoza muhutu,mtafanya yaleyale yanayofanyika Burundi. Kweli Mzee Mandela was a true foreseer !
 
Kagame : Rwanda will NOT contribute troops to Burundi peacekeeping, How do you support someone who doesn't want any help?

Yaleyale niliyoyasema,umoja wa afrika unalazimisha kupeleka jeshi Burundi la kulinda amani, nani kawaomba ? Nilisema hivi, Burundi ni nchi huru, kama mambo ya kuwakarabati sindumuja yangewashinda, wangeomba msaada. Mtu hajaomba msaada, wewe unalazimisha kumsaidia hiyo ni akili kweli? Labda kama kuna agenda ya kumuua nkurunziza waseme. Sasa unaposema kagame hatapeleka jeshi kulinda amani Burundi, jamani, ataenda kulinda amani gani ilhali yeye ndio chanzo cha sindumuja Burundi? Kiongozi gani atapokea msaada kutoka kwa nchi chimbuko la matatizo? Hivi una taarifa kuwa Burundi yamegundulika madini huko na warusi wanachimba?AU wanalazimisha kupeleka jeshi wakaibe madini au wakaue viongozi wa kihutu? Ishieni hukohuko na jeshi lenu la magumashi, bahati nzuri, balaza la usalama la umoja wa mataifa limekataa jeshi la mauaji la AU lisikanyage Burundi. Wewe hushangai, Museveni amepewa usuluhishi wa mgogoro wa Burundi kwa aibu ya ushiriki wake wa kumuunga mkono kagame haendi huko ? Siku zote anamtuma waziri wake wa ulinzi maana roho yake inamsuta kusuluhisha mgogoro anaoushiriki.Burundi sasa wametambua haki wataipata Tanzania, watanzania sio wanafiki,wanawapenda binadamu wote duniani, watanzania wanaaminika, soon utaona matunda ya ushiriki wa Tanzania katika kutatua mgogoro wa Burundi.
 
Kagame: there 72,000 Burundi refugees in camps & several other 1000s scattered in the cities as they had friends, families & money to rent, if any Burundi refugees try to cause problems in their country while in Rwanda, they'll be dealt with - incl. locking them away

Fix tu, ais?e kagame is a very good propagandist ! Ushahidi umetolewa kuwa Rwanda inawatrain wakimbizi kijeshi na kuwapa silaha, sasa mnakuja na matamko ya kipuuzi! Kama mmeamua kula mmbwa ,basi kuleni aliyenona !
 
Hali ya amani nchini humo si nzuri. Raia wanauawa sana tena kinyama kwa kuchinjwa na kupigwa risasi. Najiuliza sana kwa nini serikali ya nchi hiyo haitaki jeshi la kulinda amani kuingia nchini humo!!??
Mwenye uzoefu anisaidie ili nijue
 
Hilo nalo swali la kuuliza mkuu??
Vurugu ni kati ya serikali na raia. Kwa hiyo serikali iruhusu kuja kulindwa?
Madaraka matamu sana...
 
Nkurunzinza na serikali yake wanasema machafuko yaliyopo Burundi ni uasi unaofanywa na watu wachache, dunia inaona vinginevyo katika hilo.
Kukubali jeshi la kulinda amani hiyo ni sawa na kukubali kuwa Burundi kuna matatizo yanayohitaji ufumbuzi kutoka nje, Nkuunzinza hayupo tayari kwa hilo. Amepiga hesabu zake kuwa kuruhusu walinda amani ni sawa na kusema kuwa serikali ya Burundi imeshindwa majukumu yake.

Inashangaza kwa kuwa maamuzi ya serikali ya Burundi ni ya kushangaza lakini kisiasa na kimaslahi Nkurunzinza anajua kuruhusu jeshi kutoka nje kulinda amani Burundi ni mkumwondolea majukumu yake kama Rais ambaye ndiye Amiri jeshi mkuu wa nchi.
Hayupo tayari kuutangazia ulimwengu kuwa ameshindwa kutawala.
 
Kwani wewe Mrundi? Nkuruzinza anakuhusu nini!!! A.U peacekeepers wa nini, kwani Serikali ya Burundi imeshindwa kuwadhibiti waasi wa kuchongwa wanao kuwa financed kupata mafunzo ya kutumia silaha za kivita kutoka kwa majirani zao!! Unafikiri Nkurunzinza hajui kwamba majeshi yatakayo husisha the so called C.O.W wanaweza kula njama za kumtoa pumzi Nkurunziza/kuangusha Serikali yake,kila mtu mwenye akili timamu anajua kwamba M7,PK na UK walikuwa hawawapendi akina JK na Nkuruzinza kutokana na misimamo yao kuhusu masuala ya EAC,leo hii watu wanakuja kuleta pendekezo la majeshi ya COW kulinda amani Burundi - come on!!

Nkurunzinza is smart upstairs,mtu kama huyu sirahisi kumchezea and besides kwa nini wahusika hawachukulii seriously ushahidi wa wafanyakazi wa UN kwenye makambi ya wakimbizi huko Rwanda,migogoro na vurugu zinazo endelea mjini Bujumbura watu hawajiulizi hivi inakuwaje machafuko yako confined Bujumbura tu na si Burundi nzima kwa nini? Jibu ni kwamba Majority ya Warundi huko vijijini na miji mingine wako bega kwa bega na Nkuruzinza.

Ukweli unabaki pale pale kwamba chanzo cha machafuko kinatokana na majirani wake hakuna siri tena hapo,International Community inawajibu wa kukemea njama hizo na sio kumlahumu NKURUNZINZA na kama tatizo ni kuongeza vipind vya kutawala mbona M7,PK na Ngueso wanataka kutawala milele why pick on Nkuruzinza.

Hahaahahaha.....Smart as you.
 
Na Jana amewaambia hakuna kupeleka jeshi la AU Burundi, mkipeleka tu, mtapigwa maana hakuna namna nyingine.
yep! it is him against the world...
CXebEusWkAITBfv.jpg
 
Back
Top Bottom