Kuna watu umu walisema sisi tujitoe EAC tutaungana na Burundi.nawasubiri mje apa kuchangia
tanzania haikuwa na mpango wowote wa kuungana na burundi!!!tanzania tunaegemea sadc zaidi na burundi siyo memba!!!huu umoja wa eac wanaotaka kuanzisha uta fail tu siyo kisiasa tu hata kiuchumi,haiwezekani nchi yenye uchumi wa kati kama kenya ukajiunga kisiasa na kiuchumi na nchi ambayo ni poverty stricken kama burundi,unajua juzi juzi chancellor wa german alitoa comment kwamba nchi kama greece,ureno,bulgaria etc hazikupaswa kuwa eu!!!ilikuwa makosa kuziingiza unajua kwanini zimekuwa parasite na zinaishi kwa handouts kutoka ujeremani na france!!!!mwisho kama wewe ni m tz na unapenda hii federation unaonaje ukihamia burundi ili ufaidike na wewe kiuchumi!!!!