Rafiki yako mokala1989 yuko wapi? Amekukimbia? Amesoma alama za nyakati.
Mnatia huruma sana! Mnaongea kwa hasira kuonyesha how desperate you are! Mrudieni MUNGU, mziache njia zenu ovu. Yeye ni wa rehema atawasamehe..
murutongore........hizi zao nin tabia za msichana mwenye hajavunja ungo!...SA watawamaliza (SA makes all economic decisions kwa SADC!) China imeingia and i hear wanakuja with everything (as investors they are supposed to atleast boost local economy) hata mpishi wa chai ni mchina! aaaargh! now Obama wants a piece ....where there is keen western interest chungeni! dont be fooled..TZ maybe ver rich and so is Nigeria with oil, Congo with minerals, etc mmm...my brothers msidanganyike ..tanganyika na zinj zahitaji warwanda, waganda warundi na wakenya!
Candid umesema ukweli
mimi sioni sababu ya kuhangaika na hili shirikisho
Mfano mwingine mzuri ni Norway haipo kwenye shirikisho la nchi za ulaya
wanatumia sarafu yao wenyewe na uchumi wao uko imara sana
shirikisho la nchi za kusini inatosha waache hao wanaoitaka ardhi yetu kwa vitisho watapetape tuu
Kuna wakati Kikwete alikuwa Marekani, akazungumzia kuhusu matatizo ya Kenya, serikali ya Kibaki ikachukia kuwa kwanini kana alikuwa na kitu cha kuzungumza kuhusu matatizo ya Kenya asiongee na viongozi wa Kenya bali akasubiri akaenda Marekani na kuongea na wamarekani kuhusu matatizo ya Kenya. Ndio ntindo wake.
sijadili takataka kama Burundi na mliochangia hiyo mada check your brain kama sio wale tunawaita viroba
Nani anaongea kwa hasira? Nimekuuliza swali mbona hujibu? Wewe juzi juzi si ulikuwa unasema warundi watawafuata? Sasa na burundi nao ni "bahima empire"?
Ngoja ngoja uumiza matumbo! Subirini!
Waziri wetu wa afrika mashariki yupo wapi atoe maelezo.
Candid Scope,
Siyo kweli hayo unayoyasema. Muingereza kwa sasa anaporomoka si kawaida. Hata huduma zao za kulisha watu bure na kuwapa nyumba sasa wameanza kuzibana. Kiuchumi ameshazidiwa na Brazil na alipotaka kujitoa EU, China na USA walimwambia hata asiote kufanya hivyo.
Kuhusu Swis, hata wao wamejiingiza kimya kimya kwenye Schengen maana walikuwa wanakosa pesa kibao. Kujiondoa kwa Rwanda, Burundi na Uganda, kutakuwa na madhara makubwa sana kwetu na hapo mtu asikudanganye. Labda na sisi tuje tujifanye kawa Waswizi kwa kujiingiza kimya kimya kwenye Schengen na Uganda, Rwanda na Burundi huko mbeleni maana itakuwa na faida kwao na sisi.
Anyway, siasa za Africa zinabadilika badilika kutokana na Rais. Kesho wakija Marais wengine, watagombana na watarudisha ndoa na Tanzania. Inabidi katiba zetu kwanza zibadilike na nchi iwe na msimamo na siyo RAIS.
Exactly the same scenario happened with Rwanda. Ila kagame huwa hamung'unyi maneno. Anakupa hapo hapo.
You are not serious! Unalinganisha Norway na Tanzania iliyojichokea?
Matatizo tunayo,sema wanataka kuyatumia to their advantage.Mbona majirani wanatushitukia hivi kulikoni? inawezekana tuna matatizo!!