Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,228
Waziri SIX yupo ziarani Burundi kwa mazungumzo na Viongozi wa nchi hiyo yenye nmadhumuni ya kuboresha usafirishaji wa barabara kati ya nchi zetu mbili, vile vile kuna mpango wa kujenge reli ya kupitia Burundi kwenda DRC itikotokea Tanzania. Binafsi nampongeza Waziri Sita na Serikali yetu kwa kubuni mradi ambao utanufaisha nchi zote husika, ni matumaini yangu kwamba ujenzi wa RELI unaweza kutekelezwa fasta kuliko wa wenzetu.