Burudani kwenye mabasi zitolewe tu


Nyimbo za kikongo, Msondo na Za zamani ndio zinazopigwa kwenye mabasi ya watu Wanaojielewa hazishoshi kusikiliza in short Mbadala wa Bongo fleva sio Kwaya na qaswida pekee

Sio nyimbo zenu za kina Wasafi sijui
"Pake mate iteleze"
Zote hizo zinakera mkuu
 
Ili kukuza utalii, nadhani wanhetumia filam za wanyama.bpia wangeweka movies za gunduzi mbalimbali ingesaidia watu wa umri tofuti ku-update mind zao.

Wazo la wenye akili.
Unanunua bus lenye tv, unaweka wi-fi unaongeza setelite dish unaitumia tv ya bus kupata matangazo ya moja kwa moja ya tv, watu waenjoy ligi mbalimbali, katuni na matangazo yenye akili.
Sidhani kama hili nalo linahitaji serikali iingilie kati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom