Burning sensa: Yatakua ya ngoswe penzi kitovu cha uzembe:arumeru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Burning sensa: Yatakua ya ngoswe penzi kitovu cha uzembe:arumeru

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by mbisere, Aug 8, 2012.

 1. m

  mbisere Member

  #1
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NILIKOSA kazi ya kuhesabu kura, sasa nimekosa kazi ya sensa, sababu ni kukosa referee maana nina elimu ya shahada.sasa nimeamua kijipanga na kuanzisha chama cha marefaree kwaajili ya wanyonge kama mimi wenye elimu lakini wapo mtaani, huku arumeru urefaree ndo umewapatia watu kazi bila vigezo; WAMENIKUMBUSHA mambo aliyoya fanya ngoswe badala ya sensa akafuata mabinti kwasababu hajui umuhimu wa sensa,
   
Loading...