Kizoku
Senior Member
- Apr 30, 2014
- 186
- 66
Hakika sisi ni wa Mwenyezimungu na hakika kwake ni wenye kurejea. Nilikutana na Marehemu mara moja pale NSSF mwaka 2005 nilimpitishia vitabu vya mambo ya IT nilivyotoka navyo ughaibuni kwa rafiki yake. Kumbe ni mtu mwenye historia yake. Mwenyezimungu amweke kwenye wema wa daraja la juu huko alipo. Aamin.