BURE ELIMU AU ELIMU BURE, jaman juz nimesikia itv, taarifa kutoka mbinga mkoani Ruvuma kuwa kuna shule mwalimu mmoja wanafunzi200 hii hatar cna kwa elimu yetu, wazir wa elimu hvyo ndvyo vitu vya kufanyia kaz na co kuanza kujadili tutumie gpa au division. Mi ningefurahi kama ungeanza na afisa elimu wilaya mbinga mana naamin anafahamu hlo tatizo. Fukuza weka anayewajbka isije ikawa bure elimu badala ya elimu bure