chitambikwa
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,941
- 900
mkulo ni sawa bure
Kiwanda cha nyma kimegeuka kiwanja cha ufufuo!
Hao watanzania kwanini hawakuwa wavivu years back waliokuwa wanafanya kazi hiyo miaka ya ya 1980's ni ndugu zako wasomali?:yell:Hayo anaypuliza Zitto, yana majibu rahisi sana, vyote vimeuliwa na Watanzania wenyewe kwa uzembe na uvivu wao.
Imenitoa mchozi nivipi jamani tunarudi nyuma badala ya kwenda Mbele.usimuhukumu kwa sababu yawezekana kabisa hayo anayoyasema Zitto huyu jamaa hayaoni,hebu jiulize kwa mfano Serikali iliua kilichokuwa kiwanda cha zana za kilimo pale Mbeya (ZZK) leo imeleta mwekezaji na imempa kibali amejenga kiwanda cha bia ili watu walewe muda wote waache kufanya kazi.Wakati huo huo tunahubiri sera ya KILIMO KWANZA.Hata kujua hili ni cheap popularity? Tuamke ndugu zangu.
wana jf leo spika wa bunge amenifurahisha sana hasa baada ya kumweleza waziwazi mh. Mkulo kuwa hajajibu swali aliloulizwa na mh. Zitto. Kwa ufupi ni kuwa mh. Zitto aliitaka serikali ieleze mafanikio ya ubinafsishaji iwapo miaka ya 1980 kulikuwa na viwanda 10 vya kubangua korosho na mpaka leo kimebaki kimoja; akauliza ni mafanikio gani hayo ambayo serikali inajivunia? Mh. Mkulo akataka swali hilo liletwe kama swali la msingi na sio la nyongeza, lakini mh. Spika akamwambia mbele ya wabunge kuwa hajajibu swali. Jamani wanawake wakiwezeshwa kumbe wanaweza sana!