Bungeni: Zitto aigalagaza Serikali, Spika ashindilia msumari wa moto!

Tusimlaumu Mkulo,tujilaumu kwa kuchagua watu vilaza.......hapa hawezi ongea bila ya kuandaliwa speech....nyie vipi mumesahau mfumo wa kuandaliwa?.....He was right due to shortage of data
 
Kiwanda cha nyma kimegeuka kiwanja cha ufufuo!

Kwa kuwa kiwanda cha cow way(Kawe) ilikuwa kimbi ya kuulia ng'ombe siyo siyo mbaya ikawa kambi ya kufufulia kwa sasa.
Ninaamuru viwanda vyote vilivyo kufa kifisadi vifufuke kwa jina la Yesu.
 
Hayo anaypuliza Zitto, yana majibu rahisi sana, vyote vimeuliwa na Watanzania wenyewe kwa uzembe na uvivu wao.
Hao watanzania kwanini hawakuwa wavivu years back waliokuwa wanafanya kazi hiyo miaka ya ya 1980's ni ndugu zako wasomali?:yell:
 
usimuhukumu kwa sababu yawezekana kabisa hayo anayoyasema Zitto huyu jamaa hayaoni,hebu jiulize kwa mfano Serikali iliua kilichokuwa kiwanda cha zana za kilimo pale Mbeya (ZZK) leo imeleta mwekezaji na imempa kibali amejenga kiwanda cha bia ili watu walewe muda wote waache kufanya kazi.Wakati huo huo tunahubiri sera ya KILIMO KWANZA.Hata kujua hili ni cheap popularity? Tuamke ndugu zangu.
Imenitoa mchozi nivipi jamani tunarudi nyuma badala ya kwenda Mbele.
 
Yani ili hii nchi iendelee kunaitajika mabadiliko yani waziri anasimama bungeni anasifia mafanikiao ya ubinafsishaji lakini anashindwa kudhibitisha kwa mifano ya ukweli? Inasikitisha hapa inamaanisha alikuwa anadanganya bunge na taifa na sisi tunamwangalia.
 
je hakuna jinsi ya kuwakaba kujibu maswali ya wawakilishi wetu. Spika kusema Mkula hajajibu swali ila pia hamlazimishi kujibu inaleta shida, je kama wapo bungeni kutoa taarifa za msingi kwa manufaa ya sisi tuliowaajiri iweje awe na uhuru wa kujibu au la. Ninafikiri ni hatua muhimu ya Zitto kuwabana ila pia ninapenda kuona wakibanwa kujibu kulingana na majibu. Big up.
 
Kwani unafikiri ni vilaza! ni kwamba wanajua kuwa wao ndo wateule hivyo hata wakijibu utumbo kutakuchwa kama kawa! Ila cc wananchi tunaowachagua ndiyo vilaza zaidi.
 
Inaipasa serkali itupe opportunity cost ya KUprivatise public corporations na kabla ya kuprivatise atuambie status ya viwannda vya nguo inawiana vipi na ongezeko na au kupungua kwa uzalishaji wa pamba au malighafi nyingine. Kwasababu inaonekana mamlaka ya serkali yetu walikubaliana kubinafisisha ikawa ni kubinafisisha tu everywhere bila huruma angalia migodi, mashamba ya miwa na viwanda vyake, mashamba ya mpunga hadi huruma wapendwa hatuna watu . Hapa hamna nini wala nini ni peooooples power which will work better. Hawana majibu kwa lolote hawa wachie ngazi vilaza wakubwa. Hivi babaako akifa wewe kazi yako ni kutafuta madalali wa kufilisi mali badala ya kuiendeleza.
wana jf leo spika wa bunge amenifurahisha sana hasa baada ya kumweleza waziwazi mh. Mkulo kuwa hajajibu swali aliloulizwa na mh. Zitto. Kwa ufupi ni kuwa mh. Zitto aliitaka serikali ieleze mafanikio ya ubinafsishaji iwapo miaka ya 1980 kulikuwa na viwanda 10 vya kubangua korosho na mpaka leo kimebaki kimoja; akauliza ni mafanikio gani hayo ambayo serikali inajivunia? Mh. Mkulo akataka swali hilo liletwe kama swali la msingi na sio la nyongeza, lakini mh. Spika akamwambia mbele ya wabunge kuwa hajajibu swali. Jamani wanawake wakiwezeshwa kumbe wanaweza sana!
 
Back
Top Bottom