Bungeni: Shibuda aipasha CCM na Serikali yake!!

au amesikia tetesi kuwa crashwise anajipanga kuchukua jimbo lake....
 
du mara hii amekuwa na minyoo tena,,, makubwa!
 
Amekumbuka 2015 haipo mbali.......bt am worried abt his early childhood....
 
si udhaifu bali ni matokeo ya maabara. Leo Shibuda kazinduka

Inaonekana wazi Shibuda ametumika na Chadema kushinda kiti cha ubunge peke yake. Kutokana na comments, sidhani kama wana Chadema wanamkubali sana, yeye na watu kama Zitto, kuanzia wiki iliyopita tegemea watu kama Prof Baregu kuingizwa kwenye list hiyo.
 
Naye huyu utafikiri MRAHABA wa madini ya tanzania 3% upinzani 97% haeleweki
 
Aandae ngonjera za kuandika kwenye MTIHANI wa CHADEMA 2015, tutapeleka paper ikasomwe XXL clouz FM.
 
Shibuda ni mchicha mwiba
 
ahahahhhhh, eti imalamakoye, nimecheka mie lol
mtu aniimbie ule wimbo wa kigeugeu,polisi vigeugeu, wanasiasa vigeugeu, shibuda nae nikigeugeu

Nje ya topic, hivi huyu jamaa amekaa sana pwani? maana ni tofauti sana na sie wa huku Imalamakoye
 
ahahahhhhh, eti imalamakoye, nimecheka mie lol
mtu aniimbie ule wimbo wa kigeugeu,polisi vigeugeu, wanasiasa vigeugeu, shibuda nae nikigeugeu

Huku Imalamakoye ndimi zetu huwa nzito kidogo kuongea sasa yeye ni balaa kwenye kuongea kama mghani mashairi
 
Yawezekana alihama imalamakoye miaka mingi liyopita akaamua kwenda kuishi zake pemba kama sio mombasa

Huku Imalamakoye ndimi zetu huwa nzito kidogo kuongea sasa yeye ni balaa kwenye kuongea kama mghani mashairi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…