Bungeni: Shibuda aipasha CCM na Serikali yake!!

MANGUNGO

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
1,536
Reaction score
354
Shibuda amesema kuna mabaya ya serekali na mazuri ya serekali,mabaya upinzani na mazuri ya upinzani,hivyo serekali inapochokonyoa upinzani na ndivyo upinza huchokonyoa serekali,amepongeza jeshi la mkoa wa shimiyu akaenda mbali zaidi akiwataka CCM ikubali kukosolewa kwamba wakisema mfalme ana minyoo wasizani kuwa mfalme kafedheheshwa bali anakumbushwa juu ya afya yake,akamea jeshi a polisi kupendelea ma DC,na kutaka kuboresha demokrasia na utawala bora,mwisho ana makinda kamsifia kuwa leo kaongea lugha nzuri na kwa hekima.
 
Naona Shibuda anakuja vizuri make siku huzi kidogo ameanza kuwapa ukweli maccm
 
Awambia wakubali kupokea kasoro wanazokosolewa na upinzani;
Awambia mfalme akigunduliwa na mahabara kwamba ana minyoo sio kumdhalilisha bali kumponya;
Asema kuchokonoana bungeni ni kutokana na kasoro za CCM na Serikali yake.
 
[h=5]showing gratitude when good things happen, no matter how small they might appear to be, is the only way forward to attract more great things to happen in life.[/h]
 
MSUKUMA AmZANZIBARI... KAZI KWELI KWELI KUMUELEWA
 
Mkubwa hapo baba r1 amegunduliwa ana minyoo.
 
Mkubwa,

"mahabara" ni nani?

Mahabara ni wapinzani....maana yake chadema waliposema rais ni dhaifu walimaanisha udhaifu huo unasababishwa na minyooo aliyo nayo J.K ya kisiasa ahahaaaaaaa jamaa ana mipasho yule balaa
 
siku za karibuni kumekuwepo jitihada kubwa sana za watu wachache wasiyoitakia mema nchi yetu kutaka kupandikiza chuki za kidini miongoni mwa watanzania na kuleta mapigano na mauaji miongoni mwa watanzania, sina shaka kuwa shambulio la Arusha ni sehemu ya mikakati hiyo miovu. Nataka niwahakikishie Watanzania kuwa Serikali haitavumilia hata kidogo mbegu za chuki za kidini miongoni mwawatanzania na tutachukua hatua kali bila huruma kuzigandamiza njama hizi mbaya dhidi ya taifa letu. siku za karibuni kumekuwepo jitihada kubwa sana za watu wachache wasiyoitakia mema nchi yetu kutaka kupandikiza chuki za kidini miongoni mwa watanzania na kuleta mapigano na mauaji miongoni mwa watanzania, sina shaka kuwa shambulio la Arusha ni sehemu ya mikakati hiyo miovu. Nataka niwahakikishie Watanzania kuwa Serikali haitavumilia hata kidogo mbegu za chuki za kidini miongoni mwawatanzania na tutachukua hatua kali bila huruma kuzigandamiza njama hizi mbaya dhidi ya taifa letu.
 
Mbona hizo ni ngonjera za kila siku,by the way who are you to say that?and ua saying that onbehalf of who!!!!!!!!!!!!!
Serukambo you
 
Yeah Mkuu! kaishi sana Zanzibar alo,ost ujana wake wote...

Kiswahili chake tu matata nadhani kuna uwezekano mzazi wake mmoja akawa ni Msukuma wa Zanzibar si unajua na huko wapo wengi walihamia, anyway asante kwa taarifa
 
Back
Top Bottom