Bungeni: Serukamba aomba radhi

"Ungwana ni kitendo" Mtu mzima anapoona kosa na kuomba radhi, kiuungwana husamehewa. Heko Mh. kwa kuona kosa, na Hongera kwa uungwana wa kuomba radhi. Tunaomba wah. wote wajifunze kwake.
 
BEETHOVEN jenga hoja ustukane JF tumekupa like ili kuonyesha uwezo wako mdogo wa kufkri
 
Tatzo mmebanwa kila eneo kiuwezo na kmkakati bado ni wachanga kwenye siasa za kileleni
 
Hakuna msamaha kwa kosa hili.

Tunataka kuona haki inatendeka kama alivyosema spika makinda jana baada ya watanzania kumtumia msg za kushangaa bunge lenye matusi.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 

Hivi mbowe kawahi kuomba radhi aliposema kuwa nchi haittakalika.
 
Hahhaaaaaaa, well kuomba radhi ni uungwana ila asitwambie kuwa limemtoka kwa bahati mbaya kwani nani asiyejua kuwa "lips betray hearts?"

Pia kuomba radhi haitoshi.
Tunahitaji adhabu kali kwa mbunge huyu wa 'ccm' aliyetuma "F" words kwenye chombo cha heshima cha taifa letu.


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mjinga wa mwisho huyo sheria lazma ichukue mkondo wake mshenzi mkubwa! Uzito wa tusi lazma umgarimu
 
Ktk kikao cha bunge cha jioni hii mbunge peter serukamba aomba radhi kwa tusi alilolitoa bungeni mchana,kuwa lilimtoka kwa bahati mbaya!

Kingemtoka kinyesi ingekuwa bahati mbaya lakini maneno ........mmmmmh
 
Wana wivu na mama yako watu tumesikia halafu unasema wivu? Hivi watanzania sijui tuna akili au tope kichwani

Hauna cha kuandika si utulie unawashwa nini au unatafuta mime humu jf?

Kibanga ampiga mkoloni na Wewe ni F**KIN nini?
 
Huyu lazima aadhibiwe kwa kutoruhususiwa kuingia Bungeni kwa mwaka nzima na kutostahili kulipwa mshahara na marupurupu yake kwa mwaka mzima pia.
 
Hapo sasa, hahahaaaa... Inabidi tu ujitetee "KANFYUMPULUKA......." Lohhh, Maneno mengine ya Kinyamwezi bana 🙂
 
huyu atakua amezoea kumtukana mkewe mbele ya watoto wake.!
Ni kweli IDAWA.mtukanaji yeyote yule atukani kwa bahati mbaya maana kimjazacho mtu moyoni ndicho kimtokacho.asijitetee moyoni mwake amejaa matusi.
 
Hapo sasa, hahahaaaa... Inabidi tu ujitetee "KANFYUMPULUKA......." Lohhh, Maneno mengine ya Kinyamwezi bana 🙂

neno tamu sana hilo, likitamkwa kwa lafudhi hasa ya kinywamwezi sio yangu ya Kiswahili ambayo inampiss off KIKUNGU kila nikiongea naye kiasi kwamba niameamua kugive up kuepusha kuchambwa all the time! LOL
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…