LOVI MEMBE
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,122
- 183
huyu inaonekana watu wadogo anawaonea sana kwasababu ajimilkishe uhuru kiasi hicho. Nidhamu bila uhuru ni utumwa na uhuru bila nidhamu ni fujo . Kwahiyo hana nidhamu ndo maana kichwani hakuna itifaki ya mtiririko wa maneno wapi azungumze lipi na wapi astamke. Nasikitika msamaha wake ni wa uongo kwasababu neno lile lilishawafikia walengwa na halitaondoka maishani mwao milele.spika awajibike kwa kashfa hii.haiwezekani kabisaaaaaaa