Bungeni: Serukamba aomba radhi

Bungeni: Serukamba aomba radhi

tusubiri tuone maamuzi ya mwisho ya naibu spika kabla hajahairisha kikao cha leo, yaani huyu mtu asipoadhibiwa kuanzia kesho itakuwa TUKANA ASUBUHI-OMBA RADHI JIONI
 
Jamani hakuna online radio tusikilize kinachoendelea huko bungeni? Wengine hatuna access na TV hivi sasa?
 
ni mtu mzima hajielewi kitu gani hanafanya anashindwa na mtoto wa mid school..
 
...........Kama kweli Spika aliyoyasema jana hakuwa na mzaha atachukua hatua ... lakini iwapo atamwachia itabidi aendelee kusamehe na wengine... refa mzuri haangalii rangi ya jezi kama red kadi au yellow kadi ni kwa yoyote..........
 
Jana Spika wa Bunge alipiga mkwara mzito kwa wabunge wote,kwa kusema Mbunge yeyote atakayetoa matusi LAZIMA atolewe Nje ya mjengo na Polisi,Kabla hata wiki haujapita Serikamba (MB) wa Chama Tawala (CCM) ameporomosha matusi,Jioni hii hii wakati kikao cha Bunge kinaanza Mh.Wenje kaomba Mwongozo ili utaratibu ufuatwe na Serukamba atolewe Nje ya mjengo LAKINI mpaka dakika hii, Ndugai kalinyamazia suala hilo.Kwa mtindo huu HAKI Iko wapi???
 
Ameomba Bungeni, Naibu Spika alitaka kumaliza. Wenje kamshikilia kwamba maelekezo ya Spika hayakuwa kwamba ukiomba msamaha ndo unaachwa. Amemtaka Naibu Spika aite polisi mara moja ili Serukamba atolewe. Atatoa majibu baadae

huyu asiachwe awe mfano kwa watakaofuata sasa naibu spika anataka nini wakati ushahid uko kweupe ilitakiwa muda huyu yuko na wanausalama hao akishindwa kutenda na wengine watafata halafu wataomba radhi wakirejea ya serukamba.
 
Hahhaaaaaaa, well kuomba radhi ni uungwana ila asitwambie kuwa limemtoka kwa bahati mbaya kwani nani asiyejua kuwa "lips betray hearts?"
 
Asisamehewe mpaka mimi niiridhishe nafsi yangu.
 
Nilisema mwanzoni kabsa kuwa huyu jamaa mh; serukamba nmemskiliza ktk vkao vingi anajua kujenga hoja na ana busara sana ndio maana nilisema lazma ataomba radhi huyu ni bnadamu nazani kaptiwa...ila nawashangaa kina nkamia na waliosema watawapga maadui zao wakiwemo waandshi wawili wa habari kwa mkono wao mpaka leo hawajawaomba radhi watanzania....hongera sana serukamba tunataka vijana kama wewe...
 
Ndio tatizo la kuwa na viongozi ambao hawajiamini,na wanaoshindwa kusimamia utaratibu/kanuni wanazoweka!kesho litatokea kwa mbunge wa chama cha upinzani atachukuliwa hatua,hapo useme watu wakiwambia kuna double standard wanakataa!ila yana mwisho tu.
 
Hongera serukamba kwa kujitambua wanatakiwa wasiojua maana ya kuomba radhi na kufuta kauli wajifunze kwako..
 
Naangalia bunge sasa hivi..Selukamba kasimama na kuomba radhi kwa maneno aliyotoa mchana.
Wenje nae kaomba muongozo kwa Ndugai..akirejea agizo la Makinda jana kwamba mbunge yoyote atakayetukana atatatolewa nje na polisi. Na anasema Selukamba katoa tusi kubwa kuliko matusi yote yaliyowahi kutolewa bungeni.
Ni matusi gani Selukamba katukana..mliosikia tafadhali mtujuze.

Inasemakana amesema ametumia "F" Word machana kweupe tena ndani ya bunge. Inaelekea alijishau akafikiri yuko na maCD wa Chamwino!!
 
Nilisema mwanzoni kabsa kuwa huyu jamaa mh; serukamba nmemskiliza ktk vkao vingi anajua kujenga hoja na ana busara sana ndio maana nilisema lazma ataomba radhi huyu ni bnadamu nazani kaptiwa...ila nawashangaa kina nkamia na waliosema watawapga maadui zao wakiwemo waandshi wawili wa habari kwa mkono wao mpaka leo hawajawaomba radhi watanzania....hongera sana serukamba tunataka vijana kama wewe...

tusi lote lile tafadhali mkuu. mtu mstaarabu hapitiwi kwenye matusi huyu inaonekana wazi matusi ni jadi yake.
 
Kikwete mwasisi wa udini tz.by Godbless Lema.
 
Yaleyale ya kuiba na kurudisha,kama sio taifa la aibu twajenga basi sijui tunajenga taifa la namna gani.

Mimi hainiingii akilini kwamba unatukana matusi ya nguoni kisha unaishia kuomba radhi tu basi!! Mtu unafahamu kabisa kwamba hili ni tusi lakini unaenda nalo kwa kujua tu kwamba nitasema samahani?!

Sasa bunge limegeuka kuwa kichaka cha watu kutukanana na kutukana. Demokrasia sasa inakuwa karaha.
 
huyu atakua amezoea kumtukana mkewe mbele ya watoto wake.!
 
Nilisema mwanzoni kabsa kuwa huyu jamaa mh; serukamba nmemskiliza ktk vkao vingi anajua kujenga hoja na ana busara sana ndio maana nilisema lazma ataomba radhi huyu ni bnadamu nazani kaptiwa...ila nawashangaa kina nkamia na waliosema watawapga maadui zao wakiwemo waandshi wawili wa habari kwa mkono wao mpaka leo hawajawaomba radhi watanzania....hongera sana serukamba tunataka vijana kama wewe...

Kapitiwa??

Hicho ni kiburi ambacho wana CCM na viongozi wao wamejijengea. Mambo yanavyoendelea usije shangaa mCCM anakupiga makofi mtaani kama enzi za NAZI na Hitler halafu hafanywi kitu na serikali kwa vile tu ni CCM!!!
 
Ktk kikao cha bunge cha jioni hii mbunge peter serukamba aomba radhi kwa tusi alilolitoa bungeni mchana,kuwa lilimtoka kwa bahati mbaya!

Kuna matamshi ya KISHENZI ambayo siku zote hutumika hasa katika vijiwe vyetu na kuhalalishwa-ktk maeneo hayo. Wengi tunayashiriki na kiukweli yana funny side yake.

Pamoja na utiaji chachandu katika vijiwe vyetu, KAMWE maneno hayo hayafai kutumika pale ambapo pahitaji heshma! Huyu Nwama anazuga tuu; hiyo aliyofyatua ndio ukweli wa tabia yake!
 
Back
Top Bottom