Bungeni: Ripoti ya Jairo yawasilishwa, wabunge wachachamaa!

tusubiri tuone serikali itachukua hatua gani kwa wahusika

Kama ndicho unachosubiri mkuu utangoja pengine mpaka Yesu arudi na lisitokee lolote,
Wengine mpaka leo unakaribia mwaka wa 4 tunasubiri Hosea wa Takukuru awajibishwe na Rais kama ilivyoshauriwa na kamati ya kina Mwakyembe.
We endelea na issue zako tu mkuu, silo la kusubiria hilo!!
 
Nawasikitikia sana mliopoteza mda wenu kuangalia hii kitu. Huu ni mchezo kama wa kina kanyumba, hamna lolote litakalotokea.
Sana sana walioandika hiyo ripoti watapelekwa India Apolo siku chache zijazo
 
:embarassed2:Jamani sasa huyu UTOH mbona kajialibia kumbe hata mitihani ya CPA tunayofanyaga huwa wanashauriana regardless of the point archived yaani kweli SHAME ON HIM!! kwa kweli INTEGRITY YA CAG kuwa doubted ni big scandal sijui atajisafisha vipi? HATA HATI CHAFU ZA BAADHI YA WILAYA INAWEZEKANA WAKURUGENZI WASIPONYOOSHA MKONO BASI LAZIMA ''DIRTY CERTIFICATE''IKULALIE!!!!

HII NCHI NI MISHEMISHE TU OTHERWISE YOU ARE DEAD! HEBU FIKIRIA LILE SAKATA LA WATU KUIBA WANYAMA PORI NA KUWASAFIRISHA INGAWA NASIKIA KUNA MZITO MMOJA NDO LILIKUWA DEAL LAKE!:embarassed2:

nchi ambayo gavana wa centro bank anaiba, auditor general yuko compromised, wananchi wategemee nini hapo?
 
For those who would like to read the report it is attached in the first post for your convenience.
 
Kama ndicho unachosubiri mkuu utangoja pengine mpaka Yesu arudi na lisitokee lolote,
Wengine mpaka leo unakaribia mwaka wa 4 tunasubiri Hosea wa Takukuru awajibishwe na Rais kama ilivyoshauriwa na kamati ya kina Mwakyembe.
We endelea na issue zako tu mkuu, silo la kusubiria hilo!!
Nimekuelewa mkuu maana kwa hii nchi imekuwa kama sheria isiyo rasmi watu kutokuchukuliwa hatua hata kwa makosa yaliyo wazi
 
huyu mama(shelukindo) aliyemaliza kuongea cjui naye kapewa hela manake anavyomtetea ngeleja mpaka anaboa.

Kinachonishangaza ni pale watu wanashangaa Mama Shelukindo kumtetea Ngeleja na kampuni yake. Hii huwa ni kawaida ya Magamba kuuma na kupulizia. Watanaka waonekane kwa umma kuwa wanawajibika lakini wanapulizia through milango ya nyuma. Wale so called wapiganaji wako wapi? Kilango Macelea, Ole Sendeka, Sitta...........it's full of BULL... Huo mfumo anaodai kuwa ndiyo unatoa hiyo mianya ya watu kujilipa milioni 4 as allowance ndiyo tunataka tuiondoe kwa njia ya KATIBA HALALI. Lakini ni jana tu wabunge MAGAMBA walilazimisha kutopata katiba halali. Sasa nini kifanyike? Nguvu ya UMMA ndiyo inafaa hapa.
 
Huyo CAG Utouh sijui Utuoh anatakiwa ku-come clean, anatakiwa aeleze mwenyewe madudu yake maana credibility yake sasa ina matope. Na hasipokuwa makini hata kile kibarua cha UN kitaota magugu kwa huo ushuzi wake.
 
Ndugu Mbunge Tundu lisu has always been the best. Sasa nafahamu ni kwa nini alisemwa kuwa ana uwezo mkubwa sana,
Good for Mbowe, sasa naanza kumuelewa, huwa anaongelea maslahi mapani ya nchi siku hizi. ila ukitaka hoja na mvuto wa kipekee,hutochoka kumsikiliza LISU
 
Ndugu Mbunge Tundu lisu has always been the best. Sasa nafahamu ni kwa nini alisemwa kuwa ana uwezo mkubwa sana,
Good for Mbowe, sasa naanza kumuelewa, huwa anaongelea maslahi mapana ya nchi siku hizi. ila ukitaka hoja na mvuto wa kipekee,hutochoka kumsikiliza LISU
 
Mkuu, ungemaliza hata kidato cha pili basi. Haya mambo ya kuishia la saba siyo mazuri kwa maisha ya leo.
 
,,,,,,,Ahhh yaaani hii MINYANG'AU kweli haina cha msalie mtume,INAKWIBIA mpaka wahudumu wa hio semina,ama kweli CCM ni CHAMA CHA MAJAMBAZI,sasa hapa ****** utasema upo makini kweli?????
 
kama tunaambiwa kuwa Kikwete ndie atuundie tume ya katiba kwakisingizio kwamba tumwamini tu na kama hawa akina Luhanjo,Jairo,Ngereja,Mlima,Kafumu ndo wateule wake na tumeshuhudia jinsi wanavo chakachua kila kitu japokuwa uchunguzi bado umekava kitu kidogo, naomba niulize hivi hao wateule ambao atakuja wateua kwa ajili ya mchakato wa katiba itakuaje?
 
Kuna kigugumizi gani kumtaja na kumwambia Kikwete(dr?) kuwa nae anapaswa kuwajibika, kwamanaa kama tunamwajibisha Ngeleja kwakushindwa kumsimamia katibu wake, so if mr Luhanjo nae ni katibu kiongozi na shuguli zake ziko ikulu ni dhahili kwamba aliyo yasema kikwete alikua anafahamu, kwani ile sakata ilikuwa hot na nilazima kikwete alikua na taarifa, hatuwezi kuziba tundu la panya kwa kutumia kipande cha mkate, maoni yangu Kikwete ailisitahili kuwajibika sawasawa na Ngeleja, naomba kuwasilisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom