Bungeni: Mwigulu achafua upepo, Lissu atolewa nje ya bunge, agoma! Bunge lakatishwa kabla ya muda...

Usidanganye watu mkuu labda kwa wale ambao hawaijui siasa lakini kwa wale tunaofuatia bunge huwezi kumdanganya mtu,hakuna mbunge mwenye hoja kama mwigulu,mwingine ni zito lakini akina lisu ni kelele tu hamna hija.

Wewe ndo unadanganya umma, mwigulu ana hoja gani ya muhimu ? Lissu bana kwanza katoa facts za uchakachuaji wa mabaraza ya katiba au we hujaona?
 
Mkuu hoja yako ni mfu mwigulu ni mwiba cha kufanya cdm wajipange kumkabili kw hoja siyo fujo na vurugu

msipotoshe mambo,fujo hazikutokana na hoja ya mwigu bali ndugai kuwazuia watu kujibu hoja ya mwigu.watu wamejipanga vizuri tu,majuzi tu alichokoza watu kwa kudai anao ushahidi juu ya lwakatare na yuko tayari kuutoa hata mbinguni,watu wakamjibu na kuanza kutoa detailed clues kumuanika yeye na UWT.wakambana ndani na nje ya bunge,na sasa amezidiwa,magamba wanatumia nguvu kuzuia watu wasiendelee kumvua nguo maana kabakiwa na bikini tu!chezea Marando wewe!cha ajabu yeye kaachiwa aendelee kubwatuka tu huku wanaotaka kumjibu mnawatoa nje ya bunge na huku watu wanatukana matusi ya nguoni mnawaacha!raia tunayaona haya vizuuri sana.endeleeni tu!
 
TBC niya kifisadi inalinda chama haramu ccm...huyu ndungai ni janga la taifa.
 
Katika hali isiyo ya kawaida, Mh. Ndugai amedhihirisha kuwa anaweza kuwa ana tatizo la 'mental disorder' kwani ametaoa maamuzi bila (R.D) Ratio Decindend, popularly known ( the reason to decide) katika sintofahamu ya taifa, inalazimu wenye kujua: je kuna idadi ya miongozo ambayo mbuge anatakiwa asizidi? kama HAPANA! bila shaka ni uzaifu mkubwa ambao hata watoto wa chekechea watajua, 'what is behind the scene'. Nchemba anapewa nafasi ya mwisho kuhitimisha kwa kuhubiri UDINI! taarifa hataki kupokea, analindwa na kiti kueneza udini! YES KAMA TANZANIA KUNA MAGAIDI NA UDINI BILA SHAKA SIYO KISIWA CHA AMANI TENA! Serikali isipomfunda mchumi wa 'first class' na matamshi makubwa itajichimbia kaburi yenyewe! NI HAYO TU.
 
Wewe labda ungekufa pekee yako wala usingempata mtu wa kufa naye na kama unaakili kama ya lisu pole make taifa halina msaada wowote kama unaweza kusifia uovu wa lisu hufai kanisani wala msikitini
Kama ungekuwa karibu yangu mungu ndo angejua kitu ambacho ningefanya..fufuka maiti
 
Haiwezekani haiwezekani

Kwa kosa gani mpaka umtoe nje ya bunge Lissu?? Alipotukana Serukamba neno ---- YOU uliona sawa? Hata wewe unaposema ni ugeni wabunge unaona wewe ni nyumbani kwako umefika?

Unaposema wabunge wengine ni wapita njia huoni kama unaongoza kuchochea?

Hata hivyo, Lissu amegoma kutoka nje ya ukumbi na bunge limekatishwa kabla ya muda wake. Ni baada ya Nchemba kuchangia na kusababisha Lissu kutaka mwongozo wa Naibu Speaker

Jamani, wawakilishi wetu bungeni ufike muda mtambue nafasi yenu katika nchi hii. Yawezekana kweli naibu speaker alimwonea Lisu kumtoa nje, je kwanini Lisu alikataa kutii amri hiyo?
 
Katika hali isiyo ya kawaida, Mh. Ndugai amedhihirisha kuwa anaweza kuwa ana tatizo la 'mental disorder' kwani ametaoa maamuzi bila (R.D) Ratio Decindend, popularly known ( the reason to decide) katika sintofahamu ya taifa, inalazimu wenye kujua: je kuna idadi ya miongozo ambayo mbuge anatakiwa asizidi? kama HAPANA! bila shaka ni uzaifu mkubwa ambao hata watoto wa chekechea watajua, 'what is behind the scene'. Nchemba anapewa nafasi ya mwisho kuhitimisha kwa kuhubiri UDINI! taarifa hataki kupokea, analindwa na kiti kueneza udini! YES KAMA TANZANIA KUNA MAGAIDI NA UDINI BILA SHAKA SIYO KISIWA CHA AMANI TENA! Serikali isipomfunda mchumi wa 'first class' na matamshi makubwa itajichimbia kaburi yenyewe! NI HAYO TU.
Let us be rational
 
LISSU hana uvumilivu wa kisiasa, hii ni mbaya sana katika tasnia ya siasa, bila kuwa na uvumilivu bora aende kwao Singida akafanye ujangili, kama alivyozoea kufanya kabla hajawa mbunge.

Inabidi uwe mwangalifu na vidole pamoja na ubongo wako kabla hujaamua kuandika statement kama hii. Sasa ukisogezwa mbele na yeye Lissu utaweza kuwasilisha ushahidi kuwa Lissu alikuwa ni jangili kabla ya kuwa mbunge?

CC Invisible
 
72193_359985034108217_2023205601_n.jpg
 
Kitendo cha Tundu Lissu kimenifurahisha sana na kinabidi kipongezwe na Watanzania wote wenye mapenzi ya kweli na nchi yetu. Hongera sana Kamanda Tundu Lissu.
 
Hichi kiti cha Spika kinaegemea upande mmoja , pia kinaonekana hakijui majukumu yake
 
Back
Top Bottom