EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,356
Naona Mheshimiwa Dokta Mrema wa Vunjo (sijui phd ameipata lini?) anatema cheche, hadi anajikuta anasema Mheshimiwa Mwenyenzi Mungu Spika, lol...
Mkuu nihurumie mbavu zangu.
Naona Mheshimiwa Dokta Mrema wa Vunjo (sijui phd ameipata lini?) anatema cheche, hadi anajikuta anasema Mheshimiwa Mwenyenzi Mungu Spika, lol...
mnisaidie hvi cdm wakitoka nje mswada unakuwa valid au
kilango alichapia akasema 'mh.spikwa'Hili la Bi Kiroboto kumwita Mh Dr Mrema na Mh nae kujikwaa na Mheshimiwa Mwenyezi Mungu, nimecheka sana mpaka nimesahau hasira nilizozipata kutokana na michango iliyofwata baada ya Mh Lissu, kweli CDM wanawakimbiza wangekua wanapimwa mapigo ya moyo Lissu akiwa anaongea hakika tungepata majibu yaa ajabu.
There are currently 423 users browsing this thread. (117 members and 306 guests)
Ngoma inogile.
Sasa hivi idadi hii yote ya raia tukiamua kuwashirikisha rafiki, ndugu na jamaa zetu kwa kuwapa somo juu ya ulazima wa kuishurutisha serikali ifanye yale tunayotaka (sisi kama mabosi zao) hatutafanikiwa?
kilango alichapia akasema 'mh.spikwa'
...Spika Anne Makinda ameanza kufanya kazi za serikali pale alipoanza kutoa maelezo ya awali kabla ya mswada wa kubadilisha katiba unaosomwa mara ya pili leo...akatoa vitisho ili wabungw wasiukatae amesema wakiugomea ina maana hakuna katiba mpya na hii itazuia kuendelea kwa michalato mingine ya katiba.Amesema wale wanaowaambia watanzania waandamane wanaleta majungu yasiyo na maana.Na amesema huu mswada ni safi na hauna tatizo.
My take:
Huyu mama anafanya kazi za magamba na mafisadi waziwazi angalieni TBC1 muda huu...huyu Anne vp wakuu?
Nasema hiviii..........sio maandamano wala ''walk out of the parliament session'' itakayowezesha kuwapa hawa wehu masikio ya kusikia sauti ya wanyonge.
the only way ni kuchapana tu!! lazima viumane, mabomu ya machozi yaishe kwenye maghala yao ndio watakubali kukaa kuongea!!
Hakuna peaceful demostration itakayowafanya wasikie hawa jamaa!!
I am not violent, lakini peaceful demonstrations never works, it has never worked!
This is the sad truth!!

watanzania tuchukue maamuzi magumu. mimi niko tayari kufa. niambieni tu tuanzie wapi nitakuja.
huyo ni mtu mmoja tu dadangu, tusiwahukumu wazanzibar wote kwa hilo.