Bungeni: Muswada wa katiba mpya wasomwa

Bungeni: Muswada wa katiba mpya wasomwa

wakuu all da best banaa! naona presha inapanda taratibu let me log off!
 
Yaani wale waliotoka nje naona wamewamaliza kabisa na sasa kila mtu anakwepa suala la msingi anawaongelea wao! Mrema kapewa dakika ngapi mbona anabwabwaja tu? Heri kamaliza na bunge linaahirishwa pumbafu kabisa
 
yn mrema ni kopo. Eti yy ni mzee wa heshima amekuwa bungeni kwa miaka 20 anaju serikali vzur, anamtetea rais kw atatolewaje madarakani?? Jamani raisi mtamtoaje?
 
hakuna spika pale.hata darasa la wajinga huongozwa na mjinga mwenzao
 
kulingana na ubabe na upotoshaji unaoendekezwa ndani ya bunge sasa hivi ni dhahiri kuwa wabunge wa ccm na cuf mpango wao ni kurudisha muswada wao ule na usomwe kwa mara ya pili na dhahiri hili litaleta machafuko maana wamejipanga kumlinda kikwete na madaraka yake ndani ya mchakato wa katiba lakini pia kupendekeza muswada usomwe mara ya 2 imebidi wabunge wa chadema watoke nje baada ya yule mama ambaye aliwahi kubakwa na wahuni walioagizwa na kikwete kule moro mwaka 2005 kwenye kura za maoni kumaliza kuongea, yule wa same amefuatia jamaa wa znz bwana khalifa naye ameropoka na sasa anajikanyaga mrema mwisho naona ccm watapitisha muswada kwa mara ya 2!!!! sasa kwa kuwa wameona hatuwezi kuelewana kwa mdomo wanajipalia mkaa inabidi watu warudishe passpot zote ili vita ikianza tusuguane bila kuvuka mipaka na kama kikwete ana dharau hebu ajaribu safari hii aone tulivyochoka
tunaomba watu wote warudishe passpot kwenye maandamano yatakayotangazwa kupinga muswada huu na jukwaa la katiba ikibidi maandano yaitishwe kupitia mitandao wanahabari nao tunaomba mtusaidie kutangaza haya maandamano na watanzania kwenye hili tuweke uoga nyumbani tunataka kuona nchi hii ni ya kikwete? werema?kombani? pinda? wasira? makinda? au ni yetu sote katiba si mali ya kikwete na hana uwezo wa kuamua hata siku 1 ndugu zanu chonde chonde tuuungane wakati ni huu
 
Makinda akili kweli alikata tume kutembelea wananchi mikoani
 
Back
Top Bottom