Bungeni: Muswada wa katiba mpya wasomwa

Bungeni: Muswada wa katiba mpya wasomwa

Kazi kweli kweli............ Hivi hao wabunge waliongea mwishoni kweli tutawarudisha tena bungeni 2015.
 
huyu mama atatoa hesabu yake!! Asitufanye wajinga,kama analipa fadhila ajue na madhara yake!
 
Mzee naona siku hizi posho kutoka kwa baba riz zinamfanya ateme pumba zenye uvundo BWANA amlaze mahali pema peponi
 
Bi kiroboto you made my everning, Mh dr. Mrema! na mrema nae akajibu mh mwenyezi Mungu aha ha haaaa!
 
mrema katia fora anasema ''mheshiwa mwenyezi mungu'' badala ya mh spika.
 
Hawa wabunge wa ccm sijui vipi, mbona hawatoki?
 
Hapo ni bungeni wasifikiri shuleni, sasa wanapotoka wakati wamechaguliwa na wananchi tuwaeleweje? nina uhakika kuwa hoja walizonazo ni za kukariri ndo maana hawawezi kuzitetea,,, lazima tukubali kuwa wanaudhaifu, je kwenye masuala ya kimataifa wataweza? Au ndo staili yao ya kutoka nje tutakuwa na uwakilishi kweli?
 
yani wazanzibar ni wanafiki washenzi na wahuni mavi yao kwanza, wanafiki wakubwa sn juz wameandika waraka kw hawataki muungano leo wanajidai eti wanaupenda muungano. Shenzi zao kwanza siangalii bunge tn nasubiri kwenda barabarani

Dada Angel Msoffe taratiiibu hawa jamaa wanajimaliza huku bara wala haina tatizo
 
watanzania tuchukue maamuzi magumu. mimi niko tayari kufa. niambieni tu tuanzie wapi nitakuja.

ahahaaa! hapo ndo patamu hapo.....hapo pa "tuanzeje?"

embu anza wewe kwanza kaka.....afu siye twaja!!
 
jamani,, natoka shambani lakini huko nilikotoka nimebahatika kupata kipande cha almasi, lakini njiani nakutana na kundi la watu wananiambia kuwa hii niliyonayo c almasi punde wananionyesha kipande cha CHUPA na kuniambia kuwa ni almas, Nimeshagundua ni matapeli hapa ni akili yangu kuamua,, niwape almas ya ukweli wanipe chupa ama nibaki na almas yangu? jamani tuwe macho serikari ina niya nzuri sana lakini wachache wanataka kutuyumbisha...
 
Back
Top Bottom